Kwa nini CCM Mnafanya Hivi.....!

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Ninasikitika sana na mwenendo wa CCM ya sasa. CCM inayoratibu matukio mengi ya kutisha kama kutoa kucha watu, utekaji na mateso, kuua viongozi wa dini, kulipua nyumba za ibada, kulipua mikutano ya wapinzani, na kubambikia kesi.

Nasikitika sana hii CCM imekuwa ni Genge la Wahuni, Wauwaji, Magaidi, Mafisadi, na kila uchafu usioelezeka VIONGOZI wa CCM wanao. Ni kwa nini..? Too Sad..!
 
Wakristo ndo wanalengwa zaidi na matukio hayo! Sijui wameikosea nini ccm
 
Ninasikitika sana na mwenendo wa CCM ya sasa. CCM inayoratibu matukio mengi ya kutisha kama kutoa kucha watu, utekaji na mateso, kuua viongozi wa dini, kulipua nyumba za ibada, kulipua mikutano ya wapinzani, na kubambikia kesi.
Nasikitika sana hii CCM imekuwa ni Genge la Wahuni, Wauwaji, Magaidi, Mafisadi, na kila uchafu usioelezeka VIONGOZI wa CCM wanao. Ni kwa nini..? Too Sad..!

Nyie jifaragueni tu lakini mbivu na mbichi zimejulikana kwamba mnatoa watu makafara.
 
Ninasikitika sana na mwenendo wa CCM ya sasa. CCM inayoratibu matukio mengi ya kutisha kama kutoa kucha watu, utekaji na mateso, kuua viongozi wa dini, kulipua nyumba za ibada, kulipua mikutano ya wapinzani, na kubambikia kesi.

Nasikitika sana hii CCM imekuwa ni Genge la Wahuni, Wauwaji, Magaidi, Mafisadi, na kila uchafu usioelezeka VIONGOZI wa CCM wanao. Ni kwa nini..? Too Sad..!

wamechoka peace wanatest vagi,bure kabisa haya madingi.
 
Back
Top Bottom