Kwa nini CCM kufanya maadhimisho ya miaka 35 Ya kuzaliwa Kwke Mwanza kwenye kambi ya CHADEMA ??!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini CCM kufanya maadhimisho ya miaka 35 Ya kuzaliwa Kwke Mwanza kwenye kambi ya CHADEMA ??!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOB SEEKER, Jan 22, 2012.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF MEMBERSKwann chama cha CCM kimeamua kufanya maadhimisho ya miaka 35 ya kuzaliwa kwake Mwanza ambako ni miongoni mwa kambi yenye nguvu yachadema kwa sasa ?? kuna njama gani hapa !! maana tumezoea kusikia Dodoma,morogoro,zanzibar,Kwa CDM Mwanza na Taifa naomba wawe Attention kuhusu hili jambo siyo dogo bali lina mtaji wa kisiasa sana naomba kujua mitazamo yenu !!!!
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,880
  Likes Received: 1,646
  Trophy Points: 280
  Mkuu hivi tumeishagawana nchi? Kuna sehemu CCM wakienda inakuwa dhambi? Kama ni kambi ya CHADEMA si ndio CCM wanataka waiingilie na kuibomoa! Hizo ndiyo siasa. Inabidi CDM wajiimarishe huko wahakikishe wanaitunza kambi yao na wakati huo huo wakitafuta kambi nyingine kama vile kwenda kugombea Uzini.
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,099
  Likes Received: 4,119
  Trophy Points: 280
  Wanatimiza Maandiko.....Popote penye Mizoga ndipo watakusanyika Tai
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Acha mawazo ya Ki CCM yenye ubaguzi kila kona .Waache wajimwage tu Tanzania ni ya wote sisi .Ila wao huwa wanadhani Tanzania ni ya CCM na si ya watanzania
   
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,675
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Acha na wenyewe wakajisafishe, but wakumbe mwanza kuna kichwa kama Wenje.
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,850
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Hivi Tanzania Kuna Political Zone?
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,171
  Likes Received: 2,522
  Trophy Points: 280
  Kuna politica capital zone
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,171
  Likes Received: 2,522
  Trophy Points: 280
  Kuna political capital zones
   
 9. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,099
  Likes Received: 4,119
  Trophy Points: 280
  a.ka Uhafidhina........
   
Loading...