Kwa Nini CCm inadumaza uchumi wa Nchi na Kuwa bebesha Wananchi Mzigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Nini CCm inadumaza uchumi wa Nchi na Kuwa bebesha Wananchi Mzigo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Feb 10, 2011.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Katika kipindi cha zaidi ya Miongo 30 au zaidi imedhihirika wazi kwamba serikali ya ccm kwa makusudi au kwa jeuri tu wana fanya mambo ambayo ni wazi haya saidi kukuza uchumi wa nchi na pia kunachangia kudumaza wananchi wanyonge wa tanzani, mfano ni matumizi mabaya ya halmashauri karibia zote ambazo zilikuwa chini ya serikali za mitaa, waziri akiwa pm, wasasa , mikataba mibovu ya madini inayo ikosesha nchi mapato, manunuzi ya kuongeza bei , kama ya rada, ndege ya raisi nk, mikataba mibovu ya umeme, kuanzia iptl, netgroup, mpaka richmond/dowans, mikataba ya reli ukodishaji wa reli, kutowekeza kwenye umeme na kuwapa marafiki zao wajineemeshe , kwa gharama ya kuwaaumiza wananchi wanyonge, kwa ni kwa sasa mgao ni toka saa kumi na mbili asubuhi mpaka usiku saaa nne, na mara tano kwa wiki, hivyo kusababisha gharama za uzalishaji kuwa kubwa au uzalishaji kutofanyika kabisa, kudumaza elimu kwani watoto/watu wazima wanashindwa kuji somea jioni/usiku nk nk.
  hivi kweli serikali ya ccm inawatakia mema watanzania?
  sasa hivi hazina imekauka kutokana na matendo machafu ya serikali ya ccm, mwishowe wataanza kuuuza vipande vya nchi ili kufidia nakisi ya bujeti, kwani kuna dalili wahisani wasitoe hizo fedha na watakapo toa ni pale msaada wao utakavyo saaidia kukuwa uchumi wa nchi zao.
   
Loading...