Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Tatizo walikaririshwa wimbo ambao ilipokezwa mpaka kwa vijana wao.
Mizembe sana hawa, liinchi lote hilo yaani hadi uunganishe Uganda, Rwanda na Kenya ndio zitoshane na Tanzania halafu ina rotuba kila sehemu, full madini lakini maskini wa kutupwa.
Hiyo itabaki historia soon cz ni ukweli usiopingika tulilala sn na ni aibu nchi hii kujilinganisha na Kenya aibu sn
 
Jibu hoja, wacha kukimbilia kivulini. Kenya ina ardhi ya kutosha kuweza kujilisha, kwanini mnashindwa kujilisha?. Hatusemi muwe matajiri kama Qatar au UAE, tunataka mtumie kile kidogo mlichonacho vizuri, hakuna sababu yoyote kwa Kenya kushindwa kujilisha, kwasababu ardhi yenye rutuba mkiitumia vizuri, mnaweza kuzalisha chakula cha kuwatosha na kuuza nje, kama ilivyo ktk maua na chai. Tatizo ni siasa ya ubepari ndiyo inayosababisha njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu apambane na hali yake
 
Tatizo walikaririshwa wimbo ambao ilipokezwa mpaka kwa vijana wao.
Mizembe sana hawa, liinchi lote hilo yaani hadi uunganishe Uganda, Rwanda na Kenya ndio zitoshane na Tanzania halafu ina rotuba kila sehemu, full madini lakini maskini wa kutupwa.
Heavy facts 💯👊
 
Nasikia hadi yule mkulima mzungu anaye kamata ndege zetu ana miliki mashamba kenya
Tatizo walikaririshwa wimbo ambao ilipokezwa mpaka kwa vijana wao.
Mizembe sana hawa, liinchi lote hilo yaani hadi uunganishe Uganda, Rwanda na Kenya ndio zitoshane na Tanzania halafu ina rotuba kila sehemu, full madini lakini maskini wa kutupwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo ushahidi kuwa Kenya ni Mali ya mabeberu Na familia ya Kenyatta ,kama GDP ya nai ni sawa Na ya tz vipi kuna slum kila kona 72% ya wakaazi wa naii wanapatikana Kwa slum were that GDP go
Vigumu sana kuwaelewesha hawa, GDP ya Nairobi pekee inakaribia kutoshana na Tanzania yote ambayo ni muungano wa nchi mbili.
Hawa huwa na kasoro kubwa sana, imagine nchi yote kubwa hivyo na madini na vivutio bora vya utalii na kila kitu lakini bado maskini kupita maelezo.
Tofauti yetu nao ya kiuchumi inazidi kuongezek.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GDP ya kenya 75% siyo Mali ya wakenya
GDP ya tz 10% siyo Mali ya watz
GDP ya Nigeria 80% siyo mali ya wanigeria
Europe ilikuwa already developed kabla ya world war 2. Kwa hivyo kazi ya Mashall plan haikuwa kufanya Europe iwe developed. Kwa sababu Nchi fulani zilikuwa zimeharibika kabisa baada ya vita kwa mfano Germany, Mashall plan ilikuwa ya kuiwezesha Germany kujenga industries zake zilizoharibiwa ili kurudi katika hali yake ya awali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kitu kinaitwa GDP mfano mzuri ni Nigeria GDP $400bil Ila ni nothing kimaisha sasa
75% ya GDP ya kenya siyo Mali ya wakenya
Nigeria 80% ya GDP siyo Mali yao
Na Tanzania ni only 10% ya GDP ndiyo siyo mali ya watz hivyo 90% ni Mali yetu ndiyo maana tunaweza kufanya miladi mingi Kwa Pesa yetu
Tunazungumzia wananchi wa kawaida kufaidi uchumi wao, Mau mau walipigana ili kuhakikisha kwamba ardhi waliyopokonywa inarudi mikononi mwa wananchi, baada ya Uhuru mkasema Mau Mau ni kundi la wahuni na wakora kwasababu tu hawakuridhishwa na watawala wenu weusi kuichukua na kujimilikisha ardhi iliyokuwa mikononi mwa wazungu, lengo la Mau Mau lilikua ni kuhakikisha wananchi wa kawaida wanarudishiwa ardhi yao.

Kenya not yet Uhuru.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
897C7736-19F4-436C-AB8A-8C2F7F33BB1B.jpeg
 
Back
Top Bottom