Kwa nini bendera ya ccm inapepea ikulu na hata kwenye mawizara na hata mapazia ya ccm

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,325
1,878
Kwa nini isiwe bendera ya taifa . Raisi na ofisi yake ni ya watanzania wote sio ccm tu.kwa nini inakuwa hivyo ni katiba zu ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom