Kwa nini bendera upandishwa asubuhi na kushushwa jioni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini bendera upandishwa asubuhi na kushushwa jioni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimbo, Mar 22, 2012.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF,
  Ninaswali ambalo nimekuwa najiuliza kwa muda bila kupata jibu.

  Je ni kwa nini Bendera upandisha asubuhi - saa 12, na ikifika jioni saa 12 ushushwa?. Yawezekana wengi mnafahamu ni kwa nini, hivi msinihukumu kwa kutokujua kwangu, bali mnipe jibu.

  Nawakilisha.
   
 2. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,813
  Likes Received: 321
  Trophy Points: 180
  Hivi bendera ikipeperuka usiku nani ataiona?
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu hili nalo neno!....Sidhani kuna sababu ya maana na inashangaza sana, pengine tunafuata sheria za Uingereza. Bendera ya Taifa inatakiwa kupepea muda wote, tunapoishisha usiku ina maana kwamba hata Taifa letu huenda kulala..
   
 4. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Ahh, kumbe shida ni kuonekana tu? kama ndiyo, basi kwa maeneo yenye umeme, wasingezishusha, wangeweka/wangufunga taa ili zionekane usiku pia
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  sio taifa ni serikali
   
 6. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  na kwanini tuwe tunasimama ikishushwa na kupandishwa?na umbali gani unatakiwa usimame au usisimame
  inanikera sana hii kitu
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mimi pia sifahamu kwa nini, mbona bendera zote zilizo umoja wa mataifa hazishushwi, itakuwa haina ulazima fulani.
   
 8. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  The national flag is one of the national symbols as the national anthem. That's why we give that respect to them. I'm not sure with the distance.
   
 9. M

  Mzee wa SUP Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  siku hizi kila sehemu ngereja yupo,kwhayo usiku itaonekana pia.
   
 10. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Bendera ya serikali za mitaa uwa azishushwi
   
 11. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hiyo mie nakumbuka ni mashuleni na vituo vya polisi, kwingine sioni kama hilo linafanika!
  AU na UN zinapepea tu 24/7
   
 12. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  HOJA HII NI YA MUHIMU SANA.. Tena nasema sana.. NA JAMBO HILI NI HATARI SANA KUONGELEWA .. Miliko ya serikali, WHY MWENGE?!!??, why TWIGA as a national animal symbal.. Nadhani ni muda sasa wa kuongelea mambo Haya.. Nadhani sasa wazendo Wa kweli wanaamka Na hoja.. Ngoja kwanza tuone mwisho wa sakata la Vicent vs Mkapa litaishia wapi.,
   
 13. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Bendera Kushushwa ina maana ya kuwa nchi ipo chini ya Uongozi wa KIJESHI.
   
 14. g

  greenstar JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni PM nikupe deal
   
 15. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huku pakiwa mchana kule usiku
   
 16. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jeshi linachukua nafasi ya serikali
   
 17. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuanzia saa kumi na2 ya asubuhi, mpaka kumi na 2 jioni Nchi inakuwa kwenye himaya mh.Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tz. Ndiyo maana ikifika muda huo si bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya mh. Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF=Tanzania people defence foces Nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa Nchi inapandishwa mara moja.
   
Loading...