Kwa nini bei ya mafuta iko juu Tanzania kuliko nchi nyinge zenye bandari kweny ukanda wetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini bei ya mafuta iko juu Tanzania kuliko nchi nyinge zenye bandari kweny ukanda wetu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Mar 8, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ukiangalia kwenye chart hii hapa chini utagundua kuwa Tanzania inaongoza kwa bei ya mafuta ukilinganisha na nchi zingine zenye bandari:
  • Tanzania $1.23/l
  • Kenya $1.16/l
  • Mozambique $0.92/l
  • Malawi $1.13 (hawa hawana bandari)
  • Cameroun $0.92/l
  • South Africa $0.8/l
  • Ghana $0.33/l

  Gasoline prices statistics - countries compared - NationMaster


  Viongozi wetu wanatakiwa watupe majibu ... kwa lita moja Tanzania tunalipa Road Toll levy and Excise Duty (Mwaka 2008 VAT ilitolewa na ikawekwa Excise Duty), wakati VAT inatolewa tuliambiwa ilikuwa na lengo la kupunguza kodi wakati hapo hapo wakaweka Excise Duty kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko VAT ya awali kitu ambacho ilikuwa ni ulaghai kwa wananchi (kwa maneno mengine serikali iliwadanganya wananchi wake kuwa inapunguza kodi kwenye mafuta wakati inaiongeza)
   
Loading...