Kwa nini Barrick & Pangea wasishitakiwe London?

Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,229
662
Kwa nini Barrick & Pangea wasishitakiwe London?

Ni aibu kwa Tanzania na Africa kwa Ujumla kwa WTZ kufungua kesi ya madai kwa kampuni ya Pangea na Mshiriki wao mkuu Barrick huko Uingereza ambao walikuwa wamepewa Tanganyika kama protectorate hadi hapo watakapoweza kujitawala. Lakini kama serikali ya JK haifanyi chochote kile kuweza kuondoa utata wa swala zima la mikataba ambayo haina kichwa kwa WTZ ni jukumu la wale wote ambao wanaona haki haitendeki kufungua kesi Tanzania na UK kuwashitaki Barrick na Pangea ili walipe fidia muafaka kwa wale wote ambao mali zao wamedhulumiwa na utawala ulioko madarakani. Kilio chao kimekuwa hakisisiski lakini kwa kutumia nguvu za makampuni makubwa ambayo yanadhulumu masikini popote duniani inawezekana kufungua kesi kama hii.

Tukumbuke vile wenzetu wa Botswana (Bushmen) walivyoweza kufanikiwa kuishitaki serikali yao kwa kuwaondoa kule kwenye ardhi za mababu zao ambapo kesi yao walishinda kwa kishindo. Tanzania ni kubwa kuliko kiongozi yoyote yule ama chama chochote kile na dhuluma haiwezi kukubalika katika karne ya 21.

Soma hapa

Soma hapa

Bushmen win land victory

Vile vile tukumbuke kuwa serikali ya Tanzania inaweza kulazimishwa kwa kutumia mahakama za UK kulipa fidia kwa waathirika.
 
Dua,

hata mimi nimekuwa najiuliza the same question!
My quick research with some lawyers hapa inaonesha kuwa hilo linawezekana ila litapata nguvu zaidi kama kuna wananchi huko Buzwagi wanaweza kusimamia hii case hadi mwisho..

sometimes unajua tena watu wa home hawatabiriki, utaanzisha case kama hii (ukiwatumia hao jamaa 30 ambao mpaka sasa wamekataa kuchukua peremende za Kikwete na Barrick) lakini wakati case inaendelea, usishangae kuona jamaa wanaingia mtini na kuacha case yako iki-hang bila mashahidi!

Wazo zuri sana hili
 
Bado safari ndefu.
 
Kwa nini Barrick & Pangea wasishitakiwe London?

Ni aibu kwa Tanzania na Africa kwa Ujumla kwa WTZ kufungua kesi ya madai kwa kampuni ya Pangea na Mshiriki wao mkuu Barrick huko Uingereza ambao walikuwa wamepewa Tanganyika kama protectorate hadi hapo watakapoweza kujitawala. Lakini kama serikali ya JK haifanyi chochote kile kuweza kuondoa utata wa swala zima la mikataba ambayo haina kichwa kwa WTZ ni jukumu la wale wote ambao wanaona haki haitendeki kufungua kesi Tanzania na UK kuwashitaki Barrick na Pangea ili walipe fidia muafaka kwa wale wote ambao mali zao wamedhulumiwa na utawala ulioko madarakani. Kilio chao kimekuwa hakisisiski lakini kwa kutumia nguvu za makampuni makubwa ambayo yanadhulumu masikini popote duniani inawezekana kufungua kesi kama hii.

Tukumbuke vile wenzetu wa Botswana (Bushmen) walivyoweza kufanikiwa kuishitaki serikali yao kwa kuwaondoa kule kwenye ardhi za mababu zao ambapo kesi yao walishinda kwa kishindo. Tanzania ni kubwa kuliko kiongozi yoyote yule ama chama chochote kile na dhuluma haiwezi kukubalika katika karne ya 21.

Soma hapa

Soma hapa

Bushmen win land victory

Vile vile tukumbuke kuwa serikali ya Tanzania inaweza kulazimishwa kwa kutumia mahakama za UK kulipa fidia kwa waathirika.
Jamani njoooni muone maajabu haya
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom