the righteous
New Member
- Sep 4, 2008
- 2
- 2
Ninaomba tafadhali nisaidiwe ili niweze kutatua matatizo haya yafuatayo:-
1. Nina tatizo la kuwahi kuejaculate, kwani hunichukua kama dakika mbili tu baada ya kuingiza uume wangu kwenye uke.
2. Baada ya kuejaculate hunichukua zaidi ya dakika 15-20 uume wangu kusimama tena ili niweze kuendelea na tendo