harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,898
Wakuu bila shaka humu mpo poa..
Baada ya utafiti uliopita kuonyesha ulikua na ukweli mwingi sasa huu ni mwingine na ni zaidi ya makinikia
Ni kwamba baada ya utafiti wa mda nmegundua wanaume walioanza maisha na badae kuoa wakiwa wamefanikiwa kiasi wengi wao pale inapotokea gia ya maisha imefel basi lawama nyingi huwashushia wenza wao Japo utafiti wangu unaonyesha c kweli ila upande mwingine kuna ukweli kua wanawake huchangia hali hii..na hizi ni sehemu ya sample
1.Huyu rafiki yangu alioa akiwa hajui anasa ni nini, yan alijipakulia bila kuonja!..wakaanza maisha akiwa na uwezo tu na Bahati nzur shmej yangu nae alikua na kazi...gafla maisha ya mshikaji yakayumba,mda c mda shemu kalaza na mia..hapa cjajua nani alaumiwe ila kidogo Shem alichangia maana hakutoa ushirikiano Wa kuokoa jahazi.
2.Huyu nae ni mwanangu wa mda sana mjini..baada ya kuoa akiwa anajiweza ghafla akatoka kwenye mstari ila hyu alianguka na kuinuka baada ya kmpiga Shem chini nadhan aligundua chanzo cha tatizo ila mm cjui!
3.Hyu mwingine nae ndio cjui nisemeje ila alikua vizur sana tatizo cjui ni shem maana baada ya mshkaji kumshuku shem anabanduliwa na njemba flan akaamua kuuacha mji kabisa na kutokomea ajuako yy na kumuacha Shem akitanua mjini.
Je ni kwanini anguko la mwanaume kiuchumi wengi hudhani mwanamke kausika?
Na kwa nini baadh ya wanawake wanapoona maisha yanaenda kombo humuachia mwanaume msala Badala ya kutulia na kupambana na tatizo?