Kwa nini airtel analipa kodi kubwa kuliko voda?

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
863
407
Nimefikiria sana ila nimekosa majibu kuhusu ili suala la ulipaji kodi kati ya Vodacom na Airtel. Hivi karibuni TCRA wametoa idadi ya wateja kwa kila kampuni ya simu ilionao. Na Vodacom wana wateja Milioni 10 huku Airtel wakiwa na wateja Milioni 5 tu. Lakini ukiangalia orodha aliyotoa Waziri Mkuu wakati kuahirisha Bunge hivi karibuni ilionesha Airtel kama moja ya makapuni kumi yanayoongoza kwa ulipaji kodi nchini na Vodacom haikutajwa kabisa. Na ukitazama idadi ya wateja utaona Vodacom wana wateja wengi kuliko Airtel na Tigo. Jamani kuna suala la uchakachuaji hapa au kuna nini?
 
Jamaa inawezekana bado wako katika Grace Period, si wajua mambo ya Bongo! kama Chibuku inalipa kodi kuliko GGM au Tanzanite wategemea nini?
 
Tukiwaambia muhamie Airtel tena na familia,ndugu,jamaa na marafiki mnakuwa wabishi,sio kulipa kodi tu kumbuka pia wewe kama mtanzania una share yako Airtel(hisa za serikali) kwahiyo pamoja na kulipa kodi mwisho wa mwaka wanapeleka hazina gawio la faida.
 
Hata mimi Siwapendi Voda wamekaa kiwizi wizi so kuwasapoti ni sawa na kumsapoti mwizi au Fisadi
 
Nimeipenda avatar yako. Naomba unichoree na mimi avatar iliyokaa kijasusi jasusi.

Hahahahahah lol! Mkuu nimecheka ile mbaya hahahahah lol! Kumbe ndiyo siri yako ya kutokuwa na avatar....bado hujaipata iliyokaa kijasusi jasusi LOL!...lakini michango yako hapa jamvini haijakaa kijasusi jasusi :):):) bali ni ile ambayo imeenda shule na yenye mapenzi ya kweli na nchi yetu.... Haya Mkuu Jasusi kila la heri
 
Tukiwaambia muhamie Airtel tena na familia,ndugu,jamaa na marafiki mnakuwa wabishi,sio kulipa kodi tu kumbuka pia wewe kama mtanzania una share yako Airtel(hisa za serikali) kwahiyo pamoja na kulipa kodi mwisho wa mwaka wanapeleka hazina gawio la faida.
We are bunch of hypocrites...Kila siku tunalalamika mafisadi wanatumaliza wakati hatuna tatizo na kuwa wateja kwenye makampuni yao ambayo yameaanzishwa kwa pesa za kifisadi!!
 
Kuwa na wateja wengi haimaanishi ndo kuwa na income kubwa, kinachodetermine kodi ni income na sio wateja. Inawezekana vodacom ina wateja wengi bt wana2mia service zao rarery and at low cost hence income yao kuwa ndogo hatimaye tax kuwa ndogo and vice versa to airtel (POINT TO BE TAKEN IS "TAX IS CHARGED TO THE INCOME OF A PERSON AND NOT TO THE NUMBER OF CUSTOMER OF THE PERSON")
Nimefikiria sana ila nimekosa majibu kuhusu ili suala la ulipaji kodi kati ya Vodacom na Airtel. Hivi karibuni TCRA wametoa idadi ya wateja kwa kila kampuni ya simu ilionao. Na Vodacom wana wateja Milioni 10 huku Airtel wakiwa na wateja Milioni 5 tu. Lakini ukiangalia orodha aliyotoa Waziri Mkuu wakati kuahirisha Bunge hivi karibuni ilionesha Airtel kama moja ya makapuni kumi yanayoongoza kwa ulipaji kodi nchini na Vodacom haikutajwa kabisa. Na ukitazama idadi ya wateja utaona Vodacom wana wateja wengi kuliko Airtel na Tigo. Jamani kuna suala la uchakachuaji hapa au kuna nini?
<br />

Ukisoma sheria ya kodi, utagundua kuna 'holes' nyingi ambazo kampuni inaweza kuzitumia kupunguza kodi inayolipa kutokana na biashara zake. Pamoja na hayo, Kodi ulipayo kwa biashara yoyote ile ni f(Mapato-Matumizi-Investiment cost), Yawezekana Voda wana invest zaidi kila mwaka, kwa hiyo gharama za investiment na matumizi zinawafanya walipe kodi kidogo.

Masuala ya kodi yana "technicalities nyingi za kisheria". Siwatetei voda, labda TRA ndio watuambie kwa nini inakuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom