Kwa nini agakhan hospital mnangngania operation??dk shaffii una deal gani na operatio

Kuna hosp ni kweli wanalazimisha hizo siza. ila pia mabinti wa siku hizi wengi hawapendi kujifungua kikawaida, eti ni RISK............. utakuta mtu mzima na afya yake anaomba siza. Wengine eti wanaogopa uchungu (sijui kuna mtu aliwahi kufa kwa uchungu?)..... mi huwa nashindwa kuelewa.
mmmh uchungu gani jamani si usem tu wanadai akipitia kule nanii inachukua muda kurudi kwenye form yake
 
.....Yakiwakuta na kuwa na akili hiyo mtaua wake au watoto wenu!inatokea wame struggle masaa 10 njia haifunguki,au mtoto amekaa vibaya!wakiangalia mapigo ya moyo ya mtoto yana slow down!ukionyeshwa hapo uta sign tu!sio kama wanaanza kukuambia moja kwa moja!wanamuacha kwa muda akiwa na drip ya uchungu na vidonge vyao!!uzazi mgumu kwa baadhi ya wanawake tusikatae ukweli ndio huo!!
 
Back
Top Bottom