Kwa nini agakhan hospital mnangngania operation??dk shaffii una deal gani na operatio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini agakhan hospital mnangngania operation??dk shaffii una deal gani na operatio

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 7, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,339
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280
  Wataalam wa hospital
  embu tupen sababu za hawa watu kungangania kila mtu kumpitishia wembe tumboni mwao jamani?
  hawa watu kila mtu ukienda wakiona unawasumbua kidogo tu dk atakaepita anaandika piga wembe huyo...nikiwa huko wiki iliopita si mnajua mambo ya kuwekwa chumba kimoja vitanda kadhaa tukakuta mwenzetu analalamika wanaenda kumpiga wembe wakati yuko sawa nilipofika nikakuta mumewe analalama hilo.....,ehh majuzi naendanakuta mgonjwa wetu nae wamemuandikia operation mama mzazi akawachomolea...leo mtoto wa kike akiwa na full smile amekuja duniani na FULL SHANGWE sifa kwa bwana so najiuliza wapendwa hivi viwembe ama operation yawezekana kuna wengi mmefanyiwa ama mnatarajiwa kufanyiwa hili wakati aujatakiwa ama kuwa na hali inayotakiwa kufanyiwa operation

  kama kuna msemaji wa aghakhan tusaidien jamani...dk shafii kunani huko???
   
 2. p

  posh77 Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  operation pays zaidi ya kujifungua kawaida,hapendwi mtu inamaana hujui hilo biashara hiyo wenzio wanatafuta pesa,na usipokuwa makini unapiwa kiwembe tu watakula polisi?habari ndio hiyo
   
 3. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo wameamua kuchakachua profession ya udaktari siyo??????? eeee bwana eeee.
   
 4. TATE

  TATE Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ili linanigusa mwenzenu, siwezi kusahau nilivyolazimishiwa operesheni.
  kweli madaktari wetu wameweka pesa mbele kuliko taaluma yao. Na ndio mtindo wa kisasa kwenye hospital nyingi za binafsi!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,339
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280

  yani TANZANIA kila kitu ni kuchakachuliwa leo hii wana MABOSI WA EWURA WANA MSHARA KARIBU KILA SHELL ZA MAFUTA TUTAFIKA KWELI LOH...SWABNAH WA TAALA
   
 6. TATE

  TATE Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani nyie acheni tu, eti wakaniambia mtoto wangu atakufa, wakati katika historia yangu ujauzito wangu sikuwa na tatizo lolote
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,339
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280
  wanasisitiza hari mpya na nguvu mpya watu weweeeeeeeee........huku nje mapresha yanawapanda watu huku mtu anafurahia shekeli baada ya kukupiga kisu aisee na cha kuumiza naambiwa zile ni cash cash 50 percent umemaliza operation mwenzio anaelekea dirishan kuchukua chake wakati wewe unepelekwa ama icu ama chumbachako cha mapumziko sasa nimeamini kwa nini madaktari wa muhimbili wengi wanakwambia njo hospit fulan ntakusaidia haraka ...loh sitosahau kuna dk mmoja aliniambia mwananngu ana tangtang ..akanielekeza kwa dk mwenzake nilipoenda uwezi amini alikuwa muwazi akasema hii oper ndogo sifanyagi hapa muhimbili..niliponyesha dalili ya kuondoka akasema ok njo siku fulan akufika nikaambiwa nije siku nyingine ....loh alikuwepo aksema njoo mchana pale aghakhan tumalize nikamwambia loh sh ngapi ninazo nije aghakhan akasema sio nyingi sana kama laki mbili...wapendwa nikiwa natoka nikamwambia ahsante kama mungu amepanga atafanyiwa tu akamuita mke wangu akampa siku ya kuja..nikamwambia hny sitokanyaga kwa huyo dk kabisa hata akimfanyia anaweza kumuumiza nikiwa njian mtu mmoja akanipa namba ya prof massawe wapendwa nikamfwata kesho kyake akamwangalia akaamshika na kumchezea pale morcco kama mdoli na kusema nani amekuandikia hiyo...mbonamttot hana hiyo kitu ..nipe mwezi 1 na nusu wapendwa mtoto anaongea baba kama ana akili nzuri so unaweza jua hawa ma dk wengine wamekimbilia fan kwa ajili ya shida na sio wito...mungu awarehemu kabisa
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Angalizo: sasa wizi wa viungo ni popular duniani, isije ikawa mama zetu wanatoka hospital na figo moja.
   
 9. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Gama umenichekesha sana hapa. Inawezekana eti!
   
 10. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna hosp ni kweli wanalazimisha hizo siza. ila pia mabinti wa siku hizi wengi hawapendi kujifungua kikawaida, eti ni RISK............. utakuta mtu mzima na afya yake anaomba siza. Wengine eti wanaogopa uchungu (sijui kuna mtu aliwahi kufa kwa uchungu?)..... mi huwa nashindwa kuelewa.
   
 11. t

  talumba mkiwa Member

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani hata mimi nawashangaa sana hawa ma doct wa aghakhan,tena usipokuwa makini unaweza ukafia pale,hata ukizaa kawaida hawako serius na kazi zao,nina rafiki yangu alijifungua hapo kipindi cha nyuma kama miezi mitatu imepita wakaacha kumsafisha vizuri basi weeeeeeeeee ilikuwa ni mungu tu maana damu ilimwgika mpaka basi:hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand:
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  ni vema mwana jf aliyepitia kwenye hizi surgery akahakikishe kwa ultrasound kama int organs zimetimia
   
 13. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Ni kweli ni whuni. Mimi nilienda pale nikiwa na tatizo la jino walifanya usanii mwingi sana. Baada ya kuuliza nikaambiwa hizo ndo zao hasa wakigundua kuwa unalipiwa na hizi bima za Afya kama AAR, NHIF n.k. Tuwe makini wanawani.

  Mimi mywife wangu nilimkimbizia Fast Track MNH akajifungua mtoto wa kiume salama. Na namshukuru mungu kwani anaendelea vizuri.
   
 14. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #14
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ndo maana mimi najipendea hospitali za serikali, ni kuzijulia tu. muda ukikaribia, unamkamatisha nesi 1 elfu kumi.............. yaani hata ukijigeuza tu ameshakusogelea kukuuliza kama uko ok
   
 15. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hii aibu kabisa kuiandika hapa. Yaani umezoea rushwa mpaka unakosa hata haya na unashauri wengine pia. Nilidhani ungeshauri namna ya kushughulikia tatizo kuliko kuliongeza. Hizi ndio mentality za mabadiliko???
   
 16. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2013
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  so far aga khan hospital ndio hospital bora zaidi kwangu! nimejifungulia hapo, care nzuri, mtoto care safi kuliko nilipojifungulia Muhimbili Fast Track! wale watu hovyo sana vyumba vikijaa wankupeleka wodi ya kawaida huko....yaani its hard kutofautisha huduma ya fast track na ya kawaida hasa ukijifungua kawaida!

  Kuhusu KISU UKWELI NI KWAMBA WAKE ZENU WAKIENDA CLINIC HUWA WANAOMBA HIZO SIZA KWA HAO MADOKTA! :shock:wasiwasingizie! mi nilikuwa na previous scar lakini dokta wa aga khan akanishauri nizae kawaida tu maana ni scar ya muda mrefu haina madhara! si lazima niende kwenye CS, IT WAS ME NILIMNG'ANG'ANIA ANIFANYIE SIZA. baba wa watu alikuwa ana prefer kawaida...along with me marafiki zangu 2 niliojifungua nao mmoja kwa shafiq wote waliomba CS....

  Madokta wa watoto no wazuri sana tu, sijawahi kukaa foleni ya masaa mengi sana pale nikiwa na mtoto mchana wala asubuhi! ila kama umeenda usiku emergence pale usiku tegemea hayo.....nashangaaga sana watu wanapenda kuiponda aga khan sijui ni dhamira zipi zinawasukuma kufanya hivyo!

  mix with yours
   
 17. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2013
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Naona comment nyingi zishatoka
   
 18. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2013
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Da Kapwani, Inaonyesha we ni Mdau hapo..!!:)
   
 19. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2013
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BabaDesi mi ni client wa kawaida kabisa ninasema kile nilichokiona, nilichokifanya na nilichofanyiwa.....sina haja ya kuwapendelea! ila ni vema nikasimamia ninachoamini......

  mix with yours
   
 20. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2013
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 2,384
  Trophy Points: 280
  Umenifumbua ina maana yawezekana wife wangu 4yrs ago hakupaswa kupigwa kiwembe?nawezaje kutengeneza hii ikawa jinai?
   
Loading...