minze manonu
Member
- Nov 27, 2013
- 50
- 16
Habari zenu wana Janvi, kama kuna wenye kujua wanipe tips ya swali hilo hapo juu maana mwanamke huwa hana maamuz ktk kutumia condom wakat wa kugegedana, mwanaume hubaki kuwa mwamuz watumie au wasitumie.
kabla sijajibu ww ni ke au me?