Kwa nin wanawake wengi hawana maamuz ktk kutumia Condom

minze manonu

Member
Nov 27, 2013
50
16
Habari zenu wana Janvi, kama kuna wenye kujua wanipe tips ya swali hilo hapo juu maana mwanamke huwa hana maamuz ktk kutumia condom wakat wa kugegedana, mwanaume hubaki kuwa mwamuz watumie au wasitumie.
 
Tumeubwa hivyo mzee hasa wa africa mwanaume ni m'miliki mkuu wa tendo la ndoa hivyo wanawake hawana kik kwenye maamuzi hapa la kufanya ni wanaume tutumie mwanya huu kuwalinda wanawake
 
Kwani imekuaje tena? Mi nilishawahi kuwa na manzi wa kinyarwanda,bila ndom huezi ati
 
Back
Top Bottom