Kwa nin kwetu tu??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Jamani Mimi nilienda Hapa Malawi lakini chakushangaza nimekuta mafuta ya petrol na Diesel vipo Bei chini!!!!Nikashindwa kupata jibu bei ya huko kwa samani ya huku nikama sh,1270 kwa bei ya petrol Diesel ni sh 1100/ Sasa mimi sielewi nikwanini nawao yanapita hapa au serikali yao imeruhusu CHAKACHUA??HAWAPATI HASARA??.Najua katika JF kuna wadau wamaswala ya mafuta Ewura,TRA Nishati na madini wanaweza kutoa mchango wao.:A S-confused1:
 
Nchi ya kitu kidogo. Kila kitu sokoni mnunuzi analipa pia gharama za ufisadi. Hii yadhihirisha bila ufisadi maisha yengekuwa bora kidogo.
 
Nikweli kabisa nakama sihivyo basi wanaoagiza mafuta wameizidi serikali yetu nguvu ya ufisadi hta EWURA Ipo mfuko wanyuma wenye kifungo!!kama si zipu.
 
......we should stop grumbling and start take actions- I propose street violence against 'the fisadiz'
 
Jamani Mimi nilienda Hapa Malawi lakini chakushangaza nimekuta mafuta ya petrol na Diesel vipo Bei chini!!!!Nikashindwa kupata jibu bei ya huko kwa samani ya huku nikama sh,1270 kwa bei ya petrol Diesel ni sh 1100/ Sasa mimi sielewi nikwanini nawao yanapita hapa au serikali yao imeruhusu CHAKACHUA??HAWAPATI HASARA??.Najua katika JF kuna wadau wamaswala ya mafuta Ewura,TRA Nishati na madini wanaweza kutoa mchango wao.:A S-confused1:

hayo ndiyo madhara ya soko huria, pia nadhani wao wamepunguza kodi kwa bidhaa hiyo, labda serikali kupitia vikao vya bunge wapunguze kodi kwa hizi bidhaa ndiyo tunaweza pata unafuu fulani
 
Mkuu umesahau? Mafuta yaliondolewa kodi lakini bei ilipaaa. Wakadai wana stock ya zamani.

Hakuna jambo linaloweza kufanikiwa kwenye nchi iliyokithiri rushwa.
 
hayo ndiyo madhara ya soko huria, pia nadhani wao wamepunguza kodi kwa bidhaa hiyo, labda serikali kupitia vikao vya bunge wapunguze kodi kwa hizi bidhaa ndiyo tunaweza pata unafuu fulani
Hata mimi nimeliona hilo Malawi na Zambia na baada ya kufanya uchunguzi nimegundua nusu ya bei tunayolipia petroli/dizeli ni kodi na inaenda serikalini,kuna mpaka roadtoll ambayo niliambiwa inajenga na kukarabati barabara.
 
......we should stop grumbling and start take actions- I propose street violence against 'the fisadiz'

as a kenyan i support this kind of action. if the government doesnt listen to the common mwananchi then take to the streets! it is not a crime to force the government to listen to you, it is your country fight for it.
 
Back
Top Bottom