Kwa niliyoyashuhudia katika Uchaguzi huu, Poleni viongozi wa Upinzani

Tusidanganyane hapa hamna mpinzani mwenye uchungu na mikakati ya kweli ya kumkomboa Mtanzania
1. Wanajua kabisaa kuwa mazingira ya uchaguzi hayako fair, kwa Nini agenda yao ya kwanza isiwe kuweka sawa mazingira ya upinzani nchini.kama katiba Mpya na time huru ya u hachaguzi? Tafsiri yake Wana uchu wa madalaka ndo maana wananunulika Kila siku
2. Upinzani Hauna agenda ya kitaifa. Tundu Lissu hakuja kuwa Rais, Bali amekuja kutafuta sababu ya watu Fulani washtakiwe au wawekewe vikwazo Fulani kwani kwa mazingira ya uchaguzi hamna usawa. Nakubali kuwa aliumizwa sana " asitumie watanzania kutafuta anacho kitaka". Asiyafanye maumivu yake kuwa ya Taifa zima
Tujipange kwanza
Maumivu ya Lisu ni ya taifa kama wameweza kumuumiza mtu kama yeye hawashindwi kwa kabwela yoyote. Hivyo lazima tupambane kwa umoja.

Hoja yako ya kwanza ni kweli kabisa walipaswa kuongoza watu kupigania mazingira ya siasa kwanza. Kwani mpaka sasa katiba bado ni mbovu. Na nimeapa uchaguzi huu mwisho kushiriki ikiwa mazingira hayatakuwa fair. Nilikuwa nisishiriki ila nineshiriki kwa sababu ya damu ya Lisu iliyomwagika kuonesha kuwa napinga dhuruma na kuchagua haki. Na hili litanisimamia kiroho kwa muda wote Magu akiwa madarakani mabaya yake hayatanipata na uzao wangu na mazuri yake tutagawana na waovu sawa.
 
Labda, labda tu hao Wananchi unaowaona na kuwaita wajinga ni werevu kuliko wewe na kundi lako, kwa taarifa yako kushindwa kuwashawishi Wananchi wakusikilize na kukufwata ni kosa na mapungufu yako na siyo ya Wananchi, watu wenye high IQ (ambapo chadema siyo) hulijua hilo na kuwa wanyenyekevu na kujiuliza wapi wamekosea na kwa nini wanashindwa kuwashawishi walio wengi labda wewe siyo intelligent kama unavyojidhania , thats how winning is done, my friend na siyo kukejeli na kutukana mtu ambaye umeshindwa kumshawishi, ...
Hahahahaha kwahiyo Wewe uliesema Airforce one ndio ndege kubwa kuliko zote duniani ndo una IQ kubwa? Kwakwakwakwa!
 
Nimekuja mbio kutaka kujua madudu uliyo yashuhudia. Tafadhali tumegee kidogo mkuu
 
Labda, labda tu hao Wananchi unaowaona na kuwaita wajinga ni werevu kuliko wewe na kundi lako, kwa taarifa yako kushindwa kuwashawishi Wananchi wakusikilize na kukufwata ni kosa na mapungufu yako na siyo ya Wananchi, watu wenye high IQ (ambapo chadema siyo) hulijua hilo na kuwa wanyenyekevu na kujiuliza wapi wamekosea na kwa nini wanashindwa kuwashawishi walio wengi labda wewe siyo intelligent kama unavyojidhania , thats how winning is done, my friend na siyo kukejeli na kutukana mtu ambaye umeshindwa kumshawishi
Yule kiongozi mkubwa kabisa anayetishia wananchi waliochagua wabunge na madiwani wa upinzani yeye ana IQ ya level gani? Naomba kueleweshwa.
 
Kwenye uchaguzi huu,niliyoyashuhudia ni makubwa.

Nasema tena poleni sana viongozi wa upinzani mnawapigania watanzania wasiojielewa hii inatokana na mifumo aliyoiweka Mwl.Nyerere.kuna madudu mengi kwenye uchaguzi huu lakini kete pekee ambayo upinzani mlietegemea ni nguvu ya wananchi-tatizo kubwa wananchi wengi hawajui umuhimu wa siasa katika maisha yao.

Kama kungekuwa na wananchi wanaojitambua hayo matukio yote yasingekuwa ya malalamiko bali inge repotiwa tatizo na suluhisho ambalo wananchi wamechukua dhidi ya tukio.

Niliwahi kusema humu kuwa kwa Watanzania hawa Nina waona walivyo waoga na wajinga uchaguzi huu hukutakuwa na zaidi ya wabunge 5 bungeni-kwa dalili zote inaonekana hata hao 5 itakuwa ni ndoto.

Rai yangu,Mara 100 muwe mnakubaliana na CCM mvute mpunga kuliko kuhatarisha maisha yenu kwa sisi Watanzania wajinga.ngoja tukandamizwe hivi hivi mpaka siku akili zitakapokuja kutukaa saw a.
Kiongozi mbona naona unatumia lugha kali sana kwa wananchi na kukata tamaa!
 
Sheria mama, Katiba, inahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa sana ili kuweka mifumo huru na imara ya uchaguzi ambapo maamuzi ya wananchi yanaweza kuheshimiwa na sio vinginevyo.
 
Leo niliamua kupiga kura muda ya jioni kwa lengo la kwenda kuona picha halisi. Nilifika kituo ni saa 9:25 alasiri ikiwa imebaki do 45 kipenga kipulizwe. Ninashukuru nimekuta wakala wote wa CCM na Chadema tu. Msimamizi alikuwa friendly sana. Wakati anafungua faftari kutafuta jina langu nilishikwa na butwaa kuwa turn up ilikuwa ndogo. Yaani tick ni chache mno. Nikamuuliza vipi mbona muda unaisha na watu bado? Naye anasema hajui. Jioni hii nimeshapata taarifa Diwani ni CCM na Mbunge na Uraia wameongoza CCM. Kesho ndiyo nitapata kura halisi kwa wagombea.
 
Ndio maana hujawa na hautokuwa kwa akili na ufahamu ulionao sahau. Subiria kuitwa kwenye vikao vya chama na kuondoka na buku mbili.
Mkuu mambo yanakera kinoma Yani tunamalizana sisi kwa sisi afu baadae watu wanalalamika kuwa hali ngumu
 
Na mm ninakir kabisa ni mtanzana mjinga mm pamoja na familia yangu
Eti nikapige kura kwa faida ya nani?

Nikatumike kama karai kwa maendeleo ya familia nyingine
Awe Gwajima au mdee akiwa mbunge mm ninapata faida gani?

Watanzania wanajiuliza maswali kisha bushit ngoja niende kwenye mishe mishe zangu huyo Halima Mdee atapigiwa kura na ukoo wake au familia yake kwa sababu watakuwa na faida au maslahi kwa familia zao
Halima nimemuweka kama kielelezo tu lakini hii inawahusu wabunge wote , madiwani wote hata urais
Watanzania uwa atupigi kura kwa sababu…
 
Back
Top Bottom