Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,094
Jana katika tembeatembea zangu mara nikaangukia Mango garden, hapa na pale mara kumbe kuna bendi moja ya taarab maarufu hapa mjini inapiga,sasa bwana kwakua nlifika muda nkakaa pahala sasa watu wakaanza kuingia lkn kilichonistua ni pale mishale ya saa sita kasoro wakaanza kuingia wale wanaume walioamua kujifanya wanawake,kwanza nikiri tu pamoja na kukaa kwangu dar kitambo nimewah kumuona shoga mmoja tu maeneo ya kinondoni Brazili ila jana ndio nimejionea makundi ya hawa vijana tena bila haya wala aibu wanajibaraguza kama wanawake,sasa kwa nlichokiona jamani jamii inahitaji kufanya jambo ktk malezi otherwise kizazi kijacho dada zetu watakosa wakuwaoa, nasikitika pia kua Makonda alitangaza vita na hawa watu ila wakajitokeza watu wakaanza kumkejeli kwakua tu sio wa upande wao kisiasa ila hakika anahitaji kuungwa mkono,mimi jana nlijikuta napatwa hasira na kichwa kuanza kuniuma nkaona isiwe tabu nkatelekeza vyote nlivyonunua na kukimbia eneo lile..Jamii inahitaji tafakuri ya kina na wanaojitokeza kupinga uchafu huu kama alivyofanya Makonda aungwe mkono bila kuangalia itikadi yake