Kwa niliyoyaona BRELA leo naomba tuitafute CAG report ya BRELA (kama ipo)

Brela ni jipu la hatari kusajili kampuni inachukua muda mrefu kupita kiasi,sidhani kama wanaweza kazi
Sio kusajili tu hata kujaza annual returns ni shughuli. Ilikitokea ukafanikiwa step za mwanzo mwishowe kwenye BRELA ku confirm inachukua miezi kadha. Kuna company moja toka Feb anasubiri confirmation hadi leo yaani BRELA waidhinishe neno YES

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuuu naomba mniwie radhi lakini mimi niko tayari kufanya lolote lile ndani ya sheria ili hii idara ya serial iingie kwenye dunia tuliyonayo le na kasi na vision ya Mheshimiwa Rais Magufuli ya Mutava tanzania ya viwanda ambayo FDIs na ease of doing business ipande awe juu kabisa Africa.

Leo nimepita pale BRELA na nimekuta vijana kama 5 au 6 hivi ndio wanafanya kazi pale na PC za pentinum za 1990's.

Mazingira ya pale ya kazi ni magumu kwa kweli na siwalaumu kabisa wale vijana kwani kwanza nimekuta hawana soft skills zote za kazi na mbaya zaidi hali zao ni hafifu na hawana confidence na huku mobile phones zao zinarindima na phone calls from BRELA za mikoani...inaelekea huko mikoani hali itakuwa ni mbaya zaidi.

So this is what happened:

Nimewaambia search facility yao haifanyikazi na wakaniambia hilo ni tatizo ambalo management wanalijua lakini wao liko nje ya uwezo wao

Evidence ya search facility kutofanya kazoo online hifi hapa:

BRELA ORS

Huwezi kupata Marina ya owners wa hizo kampuni

Imagine mwekezaji yuk nje anataka kufanya simple due diligence hivyo anategemea kupata most basic info Kama vile:

1. Registered office address
2. Company status iko active au disolved?
3. Type of Company
4. Date it was Incorporated
5. Accounts take mara ya mwisho zilikuwa made lini?
6. Nature of business
7. Did this company have previous company names?
8. what was the previous company names of this company? kipindi kipi ?
9. Filing History ya history ya kampuni tena walitakiwa waweke na wa attach pdf files za hiyo kampuni kwa kuonyesha confirmation statement filters, Accounts, Capital, charges, confirmation statements / Annual returns, incorporation na officers wa hiyo kampuni (hizi zinawezekana sana kuwa online tena cheaply kwa sababu ya mambo ya cloud computing hive storage fees ni very cheap na efficient na wanaweza kucheki na watu wa e-govt wakawasaidia na watu wa teknohama)
10. Majina ya wahusika wa hii kampuni wako wangapi? je kulishawahi kuwepo kwa resignations? address ya wahusika,tarehe zao za kuzaliwa, tarehe amabayo alikuwa appointed, uraia, country of residence, occupation yake.

Sioni why hawa yasiwezekane kwani data base ipo, wanasema software ipo sasa sielewi tatizo ni nini

This could be replicated kila mkoa na sielewi kama mtu una national ID na picha zako zips why should it be difficult to register a company in the same manner mtu anaweza kutuma pesa via M-PESA?

Why should it be hard kufanya annual returns online?

Software ya BRELA ilinunuliwa miaka michache iliyopita tena kwa mabilioni ya pesa za walalahoi lakini leo haifanyi kazi

Ukitaka taarifa zozote zile lazima UJAZE FORMS kisha ulipe shili elf 20 kisha urudi baada ya siku 15 minumum!

YES...nilimuuliza jamaa akasema that is the realistic time na hawana uhakika Kama taarifa hizo zitakuwepo maana saa zingine files hawa zinafutwa au zinapotea au wale jamaa wengine hawa wanakuja kuchukua.

Kwa kifupi sidhani kama kweli tuko serious kama nchi na sidhani kama mawaziri husika wanajali

inawezekana vipi a simple search online Kama vile mtu anaingia google ichukue wiki 2?

Imagine kuna investor yuko Russia au Poland au China u Australia anataka kusearch taarifa za kampuni ambayo imesajiliwa Tanzania atatakiwa aweke ID zake Indio ataweza kupata (akibahatika) hizo taarifa

sasa cha kujiuliza, huyu mwekezaji wa Australia au Russian atapataje hizi taarifa wakati hana national ID ya Tanzania? atawezaje kufanya due diligence ?

Naomba mwenye CAG report ya BREALA atuwekee hapa. Siamini kama kweli hii ni tanzania ya Viwanda na inataka kuwa middle income country kama tunavyosema kwenye our national development plans

Kweli kuna watanzania wanaamini kuwa Tanzania itakuwa inchi ya viwanda?
 
Tatizo weng hawajajua how to use hizo online portal kufanya registration.Mim nimewafanyia watu kibao na within one and half day nakua nimeshapata certificate za business names.Kuna rafiki yang naye alkua analalamika but siku amekuja tukaingia wote nlkua alkua anakosa uelewa maana ile system kila kitu inafanya yenyewe na Kama hujakamilisha kipengele fulan inakuletea comments ambazo n technical na lazima uwe unaweza kuelewa hii comment inahusu kitu gan ili ufanyie kazi.Weng wanachemka hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Elimu Elimu Elimu Elimu ni yetu ni shida sana imejengwa kwamba mwenye pesa na mwekezaji ni mwizi. Tatizo lipo apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuuu naomba mniwie radhi lakini mimi niko tayari kufanya lolote lile ndani ya sheria ili hii idara ya serial iingie kwenye dunia tuliyonayo le na kasi na vision ya Mheshimiwa Rais Magufuli ya Mutava tanzania ya viwanda ambayo FDIs na ease of doing business ipande awe juu kabisa Africa.

Leo nimepita pale BRELA na nimekuta vijana kama 5 au 6 hivi ndio wanafanya kazi pale na PC za pentinum za 1990's.

Mazingira ya pale ya kazi ni magumu kwa kweli na siwalaumu kabisa wale vijana kwani kwanza nimekuta hawana soft skills zote za kazi na mbaya zaidi hali zao ni hafifu na hawana confidence na huku mobile phones zao zinarindima na phone calls from BRELA za mikoani...inaelekea huko mikoani hali itakuwa ni mbaya zaidi.

So this is what happened:

Nimewaambia search facility yao haifanyikazi na wakaniambia hilo ni tatizo ambalo management wanalijua lakini wao liko nje ya uwezo wao

Evidence ya search facility kutofanya kazoo online hifi hapa:

BRELA ORS

Huwezi kupata Marina ya owners wa hizo kampuni

Imagine mwekezaji yuk nje anataka kufanya simple due diligence hivyo anategemea kupata most basic info Kama vile:

1. Registered office address
2. Company status iko active au disolved?
3. Type of Company
4. Date it was Incorporated
5. Accounts take mara ya mwisho zilikuwa made lini?
6. Nature of business
7. Did this company have previous company names?
8. what was the previous company names of this company? kipindi kipi ?
9. Filing History ya history ya kampuni tena walitakiwa waweke na wa attach pdf files za hiyo kampuni kwa kuonyesha confirmation statement filters, Accounts, Capital, charges, confirmation statements / Annual returns, incorporation na officers wa hiyo kampuni (hizi zinawezekana sana kuwa online tena cheaply kwa sababu ya mambo ya cloud computing hive storage fees ni very cheap na efficient na wanaweza kucheki na watu wa e-govt wakawasaidia na watu wa teknohama)
10. Majina ya wahusika wa hii kampuni wako wangapi? je kulishawahi kuwepo kwa resignations? address ya wahusika,tarehe zao za kuzaliwa, tarehe amabayo alikuwa appointed, uraia, country of residence, occupation yake.

Sioni why hawa yasiwezekane kwani data base ipo, wanasema software ipo sasa sielewi tatizo ni nini

This could be replicated kila mkoa na sielewi kama mtu una national ID na picha zako zips why should it be difficult to register a company in the same manner mtu anaweza kutuma pesa via M-PESA?

Why should it be hard kufanya annual returns online?

Software ya BRELA ilinunuliwa miaka michache iliyopita tena kwa mabilioni ya pesa za walalahoi lakini leo haifanyi kazi

Ukitaka taarifa zozote zile lazima UJAZE FORMS kisha ulipe shili elf 20 kisha urudi baada ya siku 15 minumum!

YES...nilimuuliza jamaa akasema that is the realistic time na hawana uhakika Kama taarifa hizo zitakuwepo maana saa zingine files hawa zinafutwa au zinapotea au wale jamaa wengine hawa wanakuja kuchukua.

Kwa kifupi sidhani kama kweli tuko serious kama nchi na sidhani kama mawaziri husika wanajali

inawezekana vipi a simple search online Kama vile mtu anaingia google ichukue wiki 2?

Imagine kuna investor yuko Russia au Poland au China u Australia anataka kusearch taarifa za kampuni ambayo imesajiliwa Tanzania atatakiwa aweke ID zake Indio ataweza kupata (akibahatika) hizo taarifa

sasa cha kujiuliza, huyu mwekezaji wa Australia au Russian atapataje hizi taarifa wakati hana national ID ya Tanzania? atawezaje kufanya due diligence ?

Naomba mwenye CAG report ya BREALA atuwekee hapa. Siamini kama kweli hii ni tanzania ya Viwanda na inataka kuwa middle income country kama tunavyosema kwenye our national development plans
Could make sense if only for not your low iq that make you think it will be different under jiwe kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
b8b7d751-64a7-4f60-aba9-e26ef1a41fd4.jpg
 
Back
Top Bottom