Kwa niliyemkosea/Mkwaza Ajitokeze na kuniambia

Status
Not open for further replies.

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,823
Nawapenda Jf members wote lakini inafika hatua mnanikwaza,
Sidhani kama nimewahi kukwaruzana na mtu Humu Ndani,

Naomba kwa anayejua nilimkwaza aje ajitokeze na aseme, Ili turekebishe madhaifu yangu,mimi sio mtu mkamilifu na huwa sipendi kuchezewa rough na mtu...

Mara ya kwanza nilishakutana na mtu akanichezea rough kwa ID mpya nikacoolo na kumpiga ignore list,Mimi sitaki kujaza watu huko,
Sahizi naona kuna Mapya tena,
Please please anayejua nilimkwaza kwa namna moja au nyingine aje aniambie tu...Sijafunzwa ugomvi kwetu mimi.
 
Usikwazike my dia wangu....haya ni mambo ya kawaida kwenye mitandao km hii.....
 
Usikwazike my dia wangu....haya ni mambo ya kawaida kwenye mitandao km hii.....

Najitahidi sana lakini its too much...kama ni the same person nilishamwambia ajitokeze tu aseme kinachomsibu
 
nakumbuka..Samahani nilikosea katika matumizi ya lugha
For sure, sikuwa serious kwa nilichokisema.AM SORRY

unamkumbuka jamaa uliyemwambia kuwa una uwezo wa kumlisha yeye, baba yake na mama yake?

hiyo kauli wewe kama binti unaichukuliaje? unadhani ni nyepesi kiasi hicho kama ulivyoandika tu members wengine wakasoma na kupita?

unakumbuka kuna mtu alikwambia ndio maana wanawake wa siku hizi hamuolewi sababu ya kauli chafu kama hizo??

wewe kama vai, uliichukulaije hiyo kauli hiyo uliyotoa bila kuomba radhi kwa muhusika?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom