Kwa niaba ya wanaowabeza 'singo mama', naomba tuwa-classify kwa namna hii

0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
4,159
11,100
Moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda.

Singo mama wapo katika makundi mbalimbali:

1. Kuna ambao wamebakwa
2. Kuna ambao wamekuwa kutokana na manyanyaso ya kwenye ndoa akaamua kutimuka na wanae
3. Kuna ambao wamekuwa kutokana na tamaa zao
4. Kuna ambao wamekuwa kutokana na kufiwa waume zao au kukimbiwa

Na hii namba tatu nazani wengi wetu ndo huwa tunawatengenezea nyuzi, unakuta kibinti hata hakijafikisha 25 yrs tayari kina Mtoto, au kijinga kingine kinaenda kuzaa na mume wa mtu (sasa kimtu cha namna hii si kimependa kwa makusudi kuwa singo mama).

Binti mwingine Mkubwa tu na kazi yake anaamua kuzaa na mwanafunzi huyu lazima tumseme.

=> Poleni sana mama zangu mliopitia manyanyaso na vipigo karibia vya kukutoa roho kwenye ndoa na mkaamua kujiengua, samahani sana kwa nyuzi zetu humu.

=> Ila mwanamke akifia kwenye ndoa, nafasi ya kwenda mbinguni ni kubwa sana, maana unakufa ukiwa unawapigania wanao wawe na baba yao karibu ili wapate maisha mazuri.

NAPENDEKEZA KAMA MTU KAPITA KWENYE NDOA TUSIMUITE SINGO MAMA
 
...nazani! Nadhani inapendeza zaidi.
Mjane, aliyeachika na aliyebakwa hawamo kwenye kundi la singomama, singomama ni wanawake wenye msimamo wa kuzaa bila kuolewa au kuishi na mume.
 
Kuoa singo maza.
Ni sawa na kupanda shamba la miwa karibu na shule ..

Ipo Siku mwenyewe atarudi
 
Back
Top Bottom