Nikiwa Nyololo ghafla nimeona diffender yenye askari wengi wakielekea Mbalamaziwa kwenye uchaguzi wa diwani kata hiyo, Nimetfakari wiki hili zima wakipeleka nguvu nyingi huko wakati ni kijijini. Nimejiuliza maswali mengi bila majibu. Hv uchaguzi wa udiwani tu ndo gharama itumike kubwa hivyo? wakati hospitali hakuna madawa, shule hazina madawati, chaki, nyumba za walimu, vyumba vya madarasa, mishahara duni ya watumishi hasa walimu. lakini ukisikia nyimbo za serikali ya CCM eti hakuna pesa, ila pesa za kuchezea kama hizo zipo.
Baada ya maswali yangu nikajibu mwenyewe kuwa yote haya ni kukosekana kwa haki na usawa, laiti kungekuwa na haki hakuna mtu ambaye angejeruhiwa sembuse kuuwawa kunakofanyika sasa, hata mgambo tu wangetosha kusimamia chaguzi za madiwani pasipo vurugu. Ebu niambie leo unapeleka polisi kijijini na utegemee watu wajitokeze kupiga kura. Nimeamini Tanzania ni nchi ya kidikteta wala tusiume maneno, chaguzi hizi ni changa la macho tu.
Hiv CCM haina watu wa kutoa ushauri kuacha ubabe uliopitwa na wakati bali wawashawishi watanzani kwa kuwaletea maendeleo na hata hao viongozi wa jeshi la polisi kwa nini kuwa wakatili kiasi hiki. Leo watakwepaje CCM juu ya sakata la Arusha Kumbe hata ile mara ya kwanza huenda ni wao hakuna cha ugaidi ila ni mipango thabiti ila inaudhi kupoteza maisha ya watu wengine kwa ajili ya uroho tu.
Hata hivyo tuendelee kumwomba mungu anayejua yote ipo siku Tanzania itakuwa kwenye mikono salama ya uongozi na hata waliopo nawaomba waache tabia hiyo shaurieni, hamwezi kulazimisha watu waache kutetea haki kwa vitisho. Na eleweni Mungu anaona yanayotendeka.
ITAMFAA NINI AUPATE ULIMWENGU WOTE LAKINI AJE APATE HASARA YA NAFSI YAKE!!!!!!!!!!!!!!!!!