Mfano aliyekuwa IGP Mangu atapewa cheo gani tena kwenye vyeo vya kipolisi? Napendekeza apewe cheo cha kiraia kama umri wake wa kustaafu bado na kama bado anahitajika.
Amechukuliwa na JK kwenye mradi fulani.Ombeni sefue alipangiwa kazi gani?
Hapana, atakuwa Senior Superintendant Inspector General of Police (SSIGP)!Ukitoka IGP inaingia IGQ
Hiyo ni promotion baba.Mangu kafutwa kazi kwa kubishana na Gambo.Huyu si wa kwanza kutumbuliwa!
1976 IGP alitumbuliwa
Baada ya vita ya Kagera Mkuu wa Majeshi Hayati Afande Abdallah Twalipo alitumbuliwa kikubwa kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi lengo kupooza Munkari wake WA Vita!
Hiyo ni promotion baba.Mangu kafutwa kazi kwa kubishana na Gambo.
Sasa kipi kipo juu kati ya hadhi na muundo.?Unasema IGP ana hadhi ila yupo chini ya waziri.Hii ni tungo tata.Hujui heshma na hadhi na hadhi ya Ukuu wa Chombo cha Dola
CDF Ana heshma kuliko Waziri wa Ulinzi japo Waziri ni Mkubwa
IGP ana hadhi kuliko Waziri wa Mambo ya ndani japo kuw Muundo Waziri yupo juu
Ni sawa na Mkurugenzi wa Halmashauri umlinganishe na Mkuu wa Wilaya