Kwa ndoto hii, napata mashaka na umri wangu

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Bwana kuna huu ujinga wa hawa jamaa wanaochezaga na jeneza mabegani si mnawajua?

Ebwana leo nimewaota laivu na kale kamziki kao walikowekewa halafu wananitazama huku wamenuna sana kama kawaida yao...

Mara paap nikaamka huku roho ikinienda mbio.....

Nyie jamaa kuweni makini mie sio mtu wa GHANA
 
Attachments

  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    44.9 KB · Views: 1
Bwana kuna huu ujinga wa hawa jamaa wanaochezaga na jeneza mabegani si mnawajua?

Ebwana leo nimewaota laivu na kale kamziki kao walikowekewa halafu wananitazama huku wamenuna sana kama kawaida yao...

Mara paap nikaamka huku roho ikinienda mbio.....

Nyie jamaa kuweni makini mie sio mtu wa GHANA
Acha roho mbaya toa kazi kwa mabahari..nyookea kwa baba direct watu wapige kazi kuanzia kwenye kamati ya maandalizi ya kukuhi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom