Kwa Nape Nauye, Nchemba na Ndulu naomba majibu

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Hlw wanajamii wenzangu Nape N. Na Mchemba (mb)

Naomba kufahamu bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012 ndo inaelekea ukingoni mwa mwisho wa mwaka kifedha na kulingana na matamshi ya mawaziri wengi kwa mfano Magufuli alidai hajapewa fedha ya wizara kulingana na bajeti iliyopitishwa na serikali kwa zaidi ya 60% inanamaana ni asilimia 40% ndo imashaenda kwenye ujenzi na nidhahiri itakuwa kwa wizara zote. Naomba mnijibu maswali yangu;

1; Fedha za bajeti zilizobaki ziko wapi?

2; Na mnapango nazo kuzifanyia nini maana mwaka wa fedha ndo unaishia ivyo
3; Serikali inadai hakuna fedha kwa baadhi ya miradi ya maendeleo, fedha ambazo zilizopangiwa kwa miradi husika ziko wapi?

Nauliza haya kwa kuwa nyie ndo wasemaji wakuu wa serikali naomba majibu hayo ikizingatiwa mko kwenye kikao kikuu cha serikali Dodoma.
 
hawana majibu hawa ni vidapa tu, tumhulize rweyimamu silver labda... au naisi masafari ya rais ndio tatizo hapa yanatumia mipesa mingi sanaaaaaaaaaaa..
 
Nasari atawatoa jasho na hiyo ishu mjengoni,
kimsingi wananchi wanaenda kuambiwa kuwa prezida ametumia mapesa yetu kibao kwenda kupiga picha na bekam.
 
Back
Top Bottom