Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,069
- 3,704
- Thread starter
- #61
Binafsi sikulamu kwa uelewa wako,kwa sababu hata hapa Arusha..watu waliompa Lema kura na wapigadebe wengi alionao ni watu wahuni,wenye upeo mdogo sana,watu wasiokuwa na uwezo wa kung'amua mambo,hawa ndio wafuasi wa huyu mtu hapa mjini ila watu wenye uwezo mkubwa wa akili na wasomi,wanamuona Lema kama mtu duni kiuwezo katika maswala ya uongozi na mwenye kutumia nafasi hiyo kwa maslahi binafsi.Mleta mada Ni poyoyo wa siasa,kwa taarifa Kama ulikuwa hujui,Ni kipindi Cha Lema ndo..
Barabara za lami zimeongezeka kwa Kasi ya ajabu Arusha.
Tatizo la maji kuwa historia Arusha.
Elimu ya uraia na kujitambua imewafkia watu wengi Arusha.
Mapato au makusanyo kuongezeka zaidi ya Mara 3 kulinganisha pindi CCM ikiwa imeshika halimashauri me hapa Ni wazi CCM ilikuwa inafisadi halimashauri.
Kama unakumbuka kabla ya jiwe kunyang'anya makusanyo Lema na halimashauri yake ya Arusha ilianza kujenga shule kwa kiwango Cha orofa mfano Sombetini,baada ya jiwe Kuona mipango mizuri ya Lema na halimashauri yao akawanyang'anya makusanyo,na huu ulikuwa ni uhuni ili wasifanye maendeleo kwenye majimbo yao.
CCM hamna kitu kazi kuiba tu
Nirejee kwenye mada husika,ujenzi wa barabara za ndani ya jiji la Arusha,ni project ya world bank..ambayo ilianza kipindi cha Kikwete na sio Lema ameanzisha viguvugu za ujenzi wa barabara hizi..ila kwasababu anajua wafuasi wake wanaupeo wa chini basi anatumia hili kama daraja lakupatia kura.
Shule ni kitu muhimu sana.