Kwa na baba anayo.

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Kuna mama mmoja alikuwa akimpaka poda mtoto wake wa kiume,kama kawaida ya akina mama uwa wanawalaza chali watoto wanapokuwa wanawanyunyizia poda katika nyonga.Wakati huu mtoto wake mkubwa ambae ni wakike alikuwa pembeni akimuangalia.Kisha akauliza,'Mama hii nini' Huku akionesha sehemu za siri za mdogo wake."Hebu nitolee maswali yako yasiyokuwa na kichwa wala miguu hapa" Alijibu mama yake.Baada ya kukaa kimya kwa muda akauliza,"Lakini mama mbona mimi hii sina" Mama mtu aligeuka huku akiwa amekunja uso,"Uoni huyu ni mwanaume"Akamjibu akifikiri yamekwisha."Kwa hiyo na baba anayo"Binti akauliza.We unafikiri jibu lilikuwaje,na ungekuwa wewe ungejibu nini?
Hii si story,ilikuwa live kwani binti alichezea kichapo na Hapo watu walitofautiana kwamba binti alionewa
 
shame on that mother.Tatizo huyo mama atakuwa ajaenda shule,yeye angemwelewesha,kulikuwa hakuna haja ya kumficha .Jibu la huyo mama kuwa huyu ni mwanaume ,lilikuwa limebeba maswali mengine zaidi kwani mwanaume na mwanamke wanazo tofauti nyingine zaidi,Ilibidi huyo mama aelimishwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom