M Mabeja Member Nov 1, 2010 10 0 Nov 2, 2010 #1 Sijasikia lolote juu ya matokeo jimbo la Urambo kwa Mzee Samweli Sitta. Kulikoni? Au maji yako shingoni??
Sijasikia lolote juu ya matokeo jimbo la Urambo kwa Mzee Samweli Sitta. Kulikoni? Au maji yako shingoni??
M mwabaluhi JF-Expert Member Oct 16, 2010 561 92 Nov 2, 2010 #3 kapita kwa kura alfu 19 hivi dhidi ya alfu 5 hivi za mpinzani wake wa chadema