Kwa mwerevu Siasa za ZANZIBAR zina mafanikio makubwa!

waioeneza sera za udini kwenye kampeni 2010 ndio waliochoma makanisa ili hoja ya muungano ktk katiba ifutwe na iwe udini. Magamba at work.
 
Hapo ndipo tunapoujua ukweli wa dini ya kiislamu. Kila jamjo lina faida yake.
 
Upendo hausebu makosa, upendo hauna sababu wakristo tuzidishe upendo na msaada kwa waliochoma makanisa. Tuwalee katika upendo tusiingie kwenye majaribu. Tusitende kama shetani anavyotaka. Wanaoung'ang'ania muungano kimsingi ni viongozi ambao si wakristo
 
Back
Top Bottom