Kwa mwenye ufahamu na hili kabila

Haha asante mkuu ila huyu nilijaribu kumbana na kumdadisi angalau kutaka kujua anaonekanaje. Amedai ni mrefu wa wastan mweupe mwembamba .. Sasa nashindwa kupata picha yake halisi kwa kweli Maana simu hana yani hana wasap wala fb ..
We tulia mpokee utakavomkuta ridhika nae picha halisi utaiona siku hiyo tar 25 nawatakien mapunziko mema na shemeji yetu
 
.
Habari ya muda huu wana MMU

Kama kichwa kinavyojieleza. Nilikua naomba kufahamishwa juu ya hili kabila la WABENA. Hususani kwa upande wa wanawake.

To cut the story

Ni kwamba mwezi wa pili mwaka huu kuna siku nilikua nimepumzika ndani nimelala ghafla ikaingia simu kwa namba mpya kuwa nimtumie ile pesa maana anaisubiri..

Nikajiuliza nimjibu nini kwa kuwa mwanzoni nilihisi huenda ni matapeli ila baada ya kumjibu kistaarabu nikagundua amekosea namba. Basi baada ya pale ikabidi nimuandikie ujumbe mfupi kwamba amekosea namba mimi sikuwa mjomba wake kama alivyohisi.

Basi akasema sawa tukapotezeana. Ila siku ya pili akanipigia tena akihitaji tufahamiane nikamwambia sawa tukaelekezana akajitambulisha kwa jina la Latifa anaishi mbeya ila ni mzaliwa wa dodoma baba yake ni MBENA mama ni mgogo.

Basi maisha yakaendelea hatimae tukawa na mahusiano lakini kinachonishangaza ni kwamba mpaka leo hatujawahi kuonana na kila nikimsisitiza anitumie picha hataki anasema simu hana na ni kweli hana.

Mpaka leo hatujuani kwa sura na mwezi huu tarehe 25 anatarajia kuja. Na anadai yupo tayari kwa lolote juu yangu sasa mi simuelewii kwa kweli.

Ninachotaka kufahamu ni kuhusu MUONEKANO WA HAWA WANAWAKE WA HILI KABILA pia tabia zao upande wa mahusiano na kimaisha pia.

Kilichonivutia hajawahi kuniomba pesa na hata kuja huku nilipo nipo BAGAMOYO anakuja kwa nauli yake. Hebu wanaowajua hawa wasichana walivyo wanielekeze jaman.
Kuwa makini tu, mimi kuna mmoja nae alikosea namba wa huko huko Iringa, ila akataka tuendelea kuchat chat basi nikaona si Shida.

Siku moja nashangaa mwenzangu ananipigia simu eti yupo segera anakuja mana kipindi hicho nilikuwa tanga mjini, na hatuja wahi kuongea swala la kuja, kwa kweli nilitaka kumzimia simu ila nikamfuata shangazi yangu mana nilikuwa naishi nae jirani nikamuelezea, akanambia nisimzimie simu mana bint wawatu ni mgeni huku tanga asije akapata matatizo.

Basi nikaenda kumpokea kisha nikampeleka kwa shangazi akapewa chumba akalala huko, akawa alazimisha niende nae geto mi nikakata, nikapata kisingizio mana mwezi huo ulikuwa ni wa mfungo hivyo nikamuambia kwasasa niko kwenye mfungo hivyo siwez kukupeleka kwangu,.

Basi akawa anashinda pale na watoto wa shangazi mimi Jioni nikitoka kwenye mishughuriko yangu ndo napitia kwa aunt, baada ya kuzoea pale akawa anapiga sana story na watoto wa shangazi yangu, akaanza kuwapigia story za uchawi uchawi eti bibi yake sijui amemfundisha uchawi anataka kumuachia mikoba. Kuna siku aliumwa tukampeleka dispensary, kupimwa kakutwa na mimba ya kama wiki 8,tukamuuliza ni ya nani hata hajui.

Siku moja nikachukua simu yake nikapekua nikaona kuna namba ame sevu baba, nikaichukua nikapiga mzee akapokea nikamueleza kuwa bint yake yupo huku tanga ila chakushangaza mzee akachukulia poa tu eti nashukuru kwa kunitaarifu maana aliondoka huku alisema amepata kazi Mbeya ila kama uko nae huko hamna shida.

Nikatafuta nauli fasta nikampa shangazi, kisha nikazima simu. Shangazi akamdanganya tu kuwa nimesafiri kuna kazi naenda ifanya mkoani hivyo aondoke hadi nikirudi, ndo akaondoka.
 
Masikini dada yangu anaenda kuliwa na baharia hivi hivi.

Dada zetu hawa wakipenda wanapenda kweli tena hawasikii wala hawaambiwi lolote wakishakuwa na maamuzi yao kwenye sekta ya mapenzi. Hivyo usije uniumizia tu dada yangu moyo wake.
 
Hahaha mkuu ondoa hofu kabisa yani dada yako yupo katika mikono salama kabisaa..
 
. Kuwa makini tu, mimi kuna mmoja nae alikosea namba wa huko huko Iringa, ila akataka tuendelea kuchat chat basi nikaona si Shida.

Siku moja nashangaa mwenzangu ananipigia simu eti yupo segera anakuja mana kipindi hicho nilikuwa tanga mjini, na hatuja wahi kuongea swala la kuja, kwa kweli nilitaka kumzimia simu ila nikamfuata shangazi yangu mana nilikuwa naishi nae jirani nikamuelezea, akanambia nisimzimie simu mana bint wawatu ni mgeni huku tanga asije akapata matatizo.

Basi nikaenda kumpokea kisha nikampeleka kwa shangazi akapewa chumba akalala huko, akawa alazimisha niende nae geto mi nikakata, nikapata kisingizio mana mwezi huo ulikuwa ni wa mfungo hivyo nikamuambia kwasasa niko kwenye mfungo hivyo siwez kukupeleka kwangu,.

Basi akawa anashinda pale na watoto wa shangazi mimi Jioni nikitoka kwenye mishughuriko yangu ndo napitia kwa aunt, baada ya kuzoea pale akawa anapiga sana story na watoto wa shangazi yangu, akaanza kuwapigia story za uchawi uchawi eti bibi yake sijui amemfundisha uchawi anataka kumuachia mikoba. Kuna siku aliumwa tukampeleka dispensary, kupimwa kakutwa na mimba ya kama wiki 8,tukamuuliza ni ya nani hata hajui.

Siku moja nikachukua simu yake nikapekua nikaona kuna namba ame sevu baba, nikaichukua nikapiga mzee akapokea nikamueleza kuwa bint yake yupo huku tanga ila chakushangaza mzee akachukulia poa tu eti nashukuru kwa kunitaarifu maana aliondoka huku alisema amepata kazi Mbeya ila kama uko nae huko hamna shida.

Nikatafuta nauli fasta nikampa shangazi, kisha nikazima simu. Shangazi akamdanganya tu kuwa nimesafiri kuna kazi naenda ifanya mkoani hivyo aondoke hadi nikirudi, ndo akaondoka.
Daah mkuu aisee hatari sana hii. Hapo nimefunguka yani nitakuwa makini katika hilo.
Je vipi huyo wa kwako kimuonekano alikuaje eti.. 😂
 
Cha msingi siku atakayo kuwa anakuja akishafika stendi we mwelekeze sehemu ambayo utakuwa karibu kumuona ukiwa unamsoma since yeye hakujui na wewe humjui itakua rahisi kumpigia simu atakapo wasili na kumuelekeza labda asogee kwnye duka Fulani hapo stendi, ambapo itakua rahisi kumuona na kuobserve vzuri, then decision itakua yako either you go for it or you take off and go back to your business.
 
Asante mkuu hilo ndo ninalofikiria japokuwa sijapanga kumtelekeza nita mu observe tutapiga story nyingi tu. Kama nitakua sijaridhika nae kwa kua amesema ana ndugu yake huku basi nitamsukumia huko na hadithi yetu itakuwa imeishia hapo.
 
Labda neno “kumsaidia” limekuudhi sana?

Wanyama wote,kuhakikisha kuna survival of their kind ni duty number 1!

Hii ni scientific fact!

Jamii uliyotoka iliyokupa so much halafu unashindwa ku -commit to a person who looks like you inaonesha una very poor sense of judgement!

Hukatazwi kuoa yeyote!

Ila since sisi wanadamu ni bias,ni lazima kwanza katika kuendeleza uzao,uangalie your own kind kwanza!

Kuita mawazo yangu ni ya hovyo inaonesha wewe ni mnafiki na jitu ongo sana!

Duniani uchanganyo ni 5% na kila jamii inajali jamii yak kwa 95%,why is this?

There is reason for that!

Wewe ni weak minded,na jamii yako inayokwepa kuoa jamii yake ni weak society na mwisho hiyo jamii yenu ita varnish!

Wote kama society ni stupid na weak,hamjali your own survival!

Stronger societies hua zinameza weak societies kama yako kwa maamuzi ya kipumbavu kama yako!

Ili society i-survive,ni lazima intra marriages ziwe nyingi zaidi ya marriages done outside that society!

Hiyo ni FACT!

Oa unakotaka,ni maamuzi yako,mimi ntakuradharau tu kama unaenda kuoa wanawake wengine na jamii yako kuna wanadamu wazuri the same way umewaacha!

It shows you hate yourself and where you from and people you came from,self hater!

Oa wengine ila funga domo sio unajipa cheo cha kuelekeza wanadamu wengine waliobaki ambao waliacha hao wazuri wa huko duniani
Mm sikufunzwa matusi ila kama umekusudia tutoe fact yapi mawazo ya kimaskini twende zetu 1.mixed blood .Obama anakua Rais mweusi kwenye watu weupe na alopendwa zaidi kama baba Obama angekua na mawazo yako labda Obama angekuana anafuga ng'ombe Kenya.2.heshima ya Jamii uliyotoka hailipwi kwa kuoa ni vipi unaisaidia kutatua changamoto inazozikabili na utakua unazijua AtoZ 3.kua na strong society inakuja kwa namna mlivoelimika sio kwa kuoana nyie kwa nyie .Finally kuoa nje ya society yako kwanza unapata mawazo mengi mapya na kufungua milango ya fursa kwa kizazi chako upande mwengine na kua jamii pana zaidi.tuendelee kwa fact matusi peleka kwenu
 
Mkuu kama una nia mwambie atafute simu hata ya mtu akutumie picha mana akija hata kwa nauli yake lakini kama hauja muelewa utakuwa mtihan sana, mimi kuna kipindi nilishawahi kubet hivyo mtu akaja kwa nauli yake kabisa na hatuja wahi kuonana, nilikaa nae kama wiki yaani niliona kama mwaka, hao watu wa huko % ndogo sana ndo wanakuwa wazuri
Daah mkuu aisee hatari sana hii. Hapo nimefunguka yani nitakuwa makini katika hilo.
Je vipi huyo wa kwako kimuonekano alikuaje eti..
 
Mkuu kama una nia mwambie atafute simu hata ya mtu akutumie picha mana akija hata kwa nauli yake lakini kama hauja muelewa utakuwa mtihan sana, mimi kuna kipindi nilishawahi kubet hivyo mtu akaja kwa nauli yake kabisa na hatuja wahi kuonana, nilikaa nae kama wiki yaani niliona kama mwaka, hao watu wa huko % ndogo sana ndo wanakuwa wazuri
Nashukuru mkuu lakini huwezi amini hilo la kumwambia atafute simu limekua ndo wimbo wangu kila kukicha lakini response ni kwamba anatafuta anakosa kwa madai yake. Basi mimi nimeamua kuwa mpole nipo nasubiri matokeo tu Maana sina namna na kumkataa kwa haraka haitawezekana nitampokea kwa amani tu asijisikie vibaya hata aweje..
 
Mm sikufunzwa matusi ila kama umekusudia tutoe fact yapi mawazo ya kimaskini twende zetu 1.mixed blood .Obama anakua Rais mweusi kwenye watu weupe na alopendwa zaidi kama baba Obama angekua na mawazo yako labda Obama angekuana anafuga ng'ombe Kenya.2.heshima ya Jamii uliyotoka hailipwi kwa kuoa ni vipi unaisaidia kutatua changamoto inazozikabili na utakua unazijua AtoZ 3.kua na strong society inakuja kwa namna mlivoelimika sio kwa kuoana nyie kwa nyie .Finally kuoa nje ya society yako kwanza unapata mawazo mengi mapya na kufungua milango ya fursa kwa kizazi chako upande mwengine na kua jamii pana zaidi.tuendelee kwa fact matusi peleka kwenu

1.Obama ni one of the stupidest presidents ever!
Na rangi ya Obama haifanyi awe mtu bora!Upumbavu wako wa rangi ni hoja mufilisi kabisa!
Eti Obama kua biracial kumefanya awe mtu bora sana duniani,hivi kichwa chako kina mavi debe ngapi?

2.Kama mwanaume unashindwa ku-commit kwa mwanamke unaetoka nae jamii moja,huna maana!Wewe ni pumbavu tu,either way!

3.Biological Survival ya society haitokani na kusoma wewe punguani!
Biological Survival ya jamii ni uzao,na uzao sio kusoma wewe punguani!
Kabla shule hazijaja kulikua hakuna jamii?

Wewe ni pumbavu kwa kukimbia watu wako mwenyewe na kwenda kushobokea jamii ingine unaacha dada zako wenye uhitaji wa kuolewa the same way!

You got no respect from me at least!
 
Inaweza kuwa kweli mkuu maana hata hivo ulisema wazazi wake n makabila tofauti so we mkubalie aje, then usipolizika nae bas unamweka wazi tu ili aendelee na maisha mengine!
Haha asante mkuu ila huyu nilijaribu kumbana na kumdadisi angalau kutaka kujua anaonekanaje. Amedai ni mrefu wa wastan mweupe mwembamba .. Sasa nashindwa kupata picha yake halisi kwa kweli Maana simu hana yani hana wasap wala fb ..
 
1.Obama ni one of the stupidest presidents ever!
Na rangi ya Obama haifanyi awe mtu bora!Upumbavu wako wa rangi ni hoja mufilisi kabisa!
Eti Obama kua biracial kumefanya awe mtu bora sana duniani,hivi kichwa chako kina mavi debe ngapi?

2.Kama mwanaume unashindwa ku-commit kwa mwanamke unaetoka nae jamii moja,huna maana!Wewe ni pumbavu tu,either way!

3.Biological Survival ya society haitokani na kusoma wewe punguani!
Biological Survival ya jamii ni uzao,na uzao sio kusoma wewe punguani!
Kabla shule hazijaja kulikua hakuna jamii?

Wewe ni pumbavu kwa kukimbia watu wako mwenyewe na kwenda kushobokea jamii ingine unaacha dada zako wenye uhitaji wa kuolewa the same way!

You got no respect from me at least!
duh yaani bado unaonesha ni Jinsi gani unamawazo mgando kweli kweli Mm nimekwambia Mixed blood
Inamfanya Obama kua Rais aliependwa Zaidi America sio kwa rangi na unathani kuandika kengereza ndo unatoa fact za maana sana hapa na kuelimika kwa jamii si lazima kua wameenda sana Maana kuna aina tatu za elimu kwa akili zako finyu unadhani Elimu is only Formally Education .Ndo maana nikakwambia una mawazo ya kihindi kuoa Dada yako wa tumbo moja sema yy analinda Mali ww unalinda Jamii yako au familia.huko hatuko tena karne hii izo zilikua enzi za zama za mawe (Early stone age) Social Identity biological hawezi kuondoka Kama utaoa Mjerumani kizazi chako kitakua na double society kama ni mchaga na umamani atatambulika katika jamii yake hajapoteza sifa yoyote ile
 
Anatumia zake tu ila ukija mzinga utaona kizunguzungu
Aweza kusema nijengee nyumba
 
Habari ya muda huu wana MMU

Kama kichwa kinavyojieleza. Nilikua naomba kufahamishwa juu ya hili kabila la WABENA. Hususani kwa upande wa wanawake.

To cut the story

Ni kwamba mwezi wa pili mwaka huu kuna siku nilikua nimepumzika ndani nimelala ghafla ikaingia simu kwa namba mpya kuwa nimtumie ile pesa maana anaisubiri..

Nikajiuliza nimjibu nini kwa kuwa mwanzoni nilihisi huenda ni matapeli ila baada ya kumjibu kistaarabu nikagundua amekosea namba. Basi baada ya pale ikabidi nimuandikie ujumbe mfupi kwamba amekosea namba mimi sikuwa mjomba wake kama alivyohisi.

Basi akasema sawa tukapotezeana. Ila siku ya pili akanipigia tena akihitaji tufahamiane nikamwambia sawa tukaelekezana akajitambulisha kwa jina la Latifa anaishi mbeya ila ni mzaliwa wa dodoma baba yake ni MBENA mama ni mgogo.

Basi maisha yakaendelea hatimae tukawa na mahusiano lakini kinachonishangaza ni kwamba mpaka leo hatujawahi kuonana na kila nikimsisitiza anitumie picha hataki anasema simu hana na ni kweli hana.

Mpaka leo hatujuani kwa sura na mwezi huu tarehe 25 anatarajia kuja. Na anadai yupo tayari kwa lolote juu yangu sasa mi simuelewii kwa kweli.

Ninachotaka kufahamu ni kuhusu MUONEKANO WA HAWA WANAWAKE WA HILI KABILA pia tabia zao upande wa mahusiano na kimaisha pia.

Kilichonivutia hajawahi kuniomba pesa na hata kuja huku nilipo nipo BAGAMOYO anakuja kwa nauli yake. Hebu wanaowajua hawa wasichana walivyo wanielekeze jaman.

Iliwahi kumtokea jamaa yetu tukiwa chuo kikuu cha Dar akampokea demu toka moro in similar manner. Kumbe demu alikuwa jini. Usiku ukifika tunampisha room anapiga mashine but finally akamkimbia demu na hakutuambia kilichomsibu u8siku huo. Demu alikuwa njema kifedha na kimvuto maana alikuwa na umbo la kitutsi. Ila jamaa alilala naye siku moja tu kesho yake akakimbia jumla na demu akarudi zake morogoro bila kutuaga. Mpaka leo jamaa hasemi kilichomkuta ila tulikuja jua jua lilikua jini. Take care kaka bure aghali.
 
Dah aisee nimesisimkwa hadi mwili kwa hofu. Asante mkuu nitakua makini sana
 
Back
Top Bottom