Kwa mwenye ufahamu na hili kabila

Miaka ya nyuma akati tunakosea kutuma ela unamuomba akurudishie, bro aliwrong akatuma laki3 mbena wa watu na dhiki zake hana ata smartphone jaman uyu dada akamrudishia broo muamala wake, wakawasliana weeee mwaka adi kaka ikabidi aende akamuone, wajua alimuoa adi leo ndo wifi yetu hana tamaa kabisa ila tabia na kabila la mtu avina uhusiano mambo yameshakuwa mengi
Kwahiyo unanishauri nini eti dada. Nimsubiri tu aje tupange maisha au
 
Ndio maana mwafrika hakui kifra. Uliambiwa na nani kwamba kumuoa mtu ni kumkomboa ?

Mpumbavu wewe!

Kuoa ni political and economical decision!

Mapenzi ni too transient and cannot be trusted as ni short term!

Oa kwenu mbuzi wewe!

Kama you cant commit to the people who look like you and share ancestry with you then you are a stupid traitor!

Una jukumu ya kuhakikisha survival of yourself,then your own family,halafu your society then wasenge wengine!

Unaenda kusaidia survival of your rival society unaacha your own society inakufa shows how irresponsible you are to your own people who look and smell like you!

Mtu unajichukia mpaka huwajibiki kwenye jamii yako binafsi shows how weak you are as a person!

Na jamii yako itakua weak na itamezwa na stronger society unayoishabikia na kuisaidia...
 
Wewe dogo una tabia za ki.s.e.n.g.e.re sana. Unaamini chochote unachokiwaza wewe basi ni universal law.

Ushamba umekujaa punguwani wa hedi

Wewe “kubwa” una usenge kiwango cha SGR!

Sijakuomba ufate ninachoongea!

Last time I checked wewe ndio umeshobokea comment yangu na kujifanya kuijibu as if nimekuomba!

Kama hutaki nikisemacho ruka comment soma zingine!

Umekua moved mpaka ukajikomentisha kwenye komenti yangu,if its a stupid comment usinge even soma to begin with!

Nakomenti nachokitaka mie sio wewe!

Your opinion about my comment is useless to me,

I couldn’t careless what the fvck you think about it!

You are a shitty nigga,and your opinions on me are shitty,keep ‘em for yo’self!

Pinga hoja,sio unatoa your biased opinions about people you dont know!

Sikujui,hunijui,we are internet characters,kama umemind jump into the ocean,who cares?
 
Kwa akili hizi wahindi ndo huoa Dada zao tumbo moja kulinda Mali mungu akusamehe bure

Unajitoa ufahamu sio?

Unajifanya mnafiki and dishonest?

Kuoa ndugu wa familia ni incest na ni kosa morally na biologically!

Did I talk anything relatively close to that nonsense?

Au umeamua kua nafiki?

Nimesema oa jamii unayotoka maana unaifahamu vizuri na pia unasaidia its survival!

Jamii yako sio familia yako mpuuzi wewe!

Angeoa kwao kusingekua na threads kama hizi!

Kama kwenye jamii unayotoka kila mtu angekua anaikimbia anaoa jamii ingine,msingeweza survive as a society!

Punguza unafiki wewe kijakazi!
 
Wyatt Mathewson,
Hayo yako ni mawazo ya mtu Muoga asiejiamini kama anaweza kuanzisha maisha popote na yoyote yule mradi mtaelewana kimtazamo na malengo iyo kuoa mtu ukadhani unamsaidia ni mawazo ya kimaskini sana na kwenye dunia ya utandawazi hayana nafasi hivi hizi half cast zingekuwepo kweli kwa akili hizi
 
Khantwe,
1. Kuna siku nilikuwa nasikiliza interview ya Linah alisema alikuwa ana huu mchezo wa kupiga simu akijifanya anakosea namba

2. Pia kuna baadhi ya wanawake wadangaji wana huu mchezo ila wao wanakuzoea kama siku mbili anajifanya ni mwanafunzi wa chuo. Ukisema muonane anakuomba 5,000 ya nauli. Ukimtumia tu inakula kwako. Nina ushuhuda wa watu 2 wameshatapeliwa kwa njia hii.
Hii njia siyo ngeni sana na hii njia ndiyo inatumiwa kutafuta mwenza wa maisha. Upepo wa kisulisuli kwahiyo wanawake wanatumia njia hii. Kuna mmoja alijifanya amekosea namba, siku mbili akaanza kupiga mizinga anaumwa. Nikatupilia mbali
 
Back
Top Bottom