Kwa mwenye taarifa za uhakika tujuzeni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mwenye taarifa za uhakika tujuzeni...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ALLEX, May 26, 2011.

 1. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Tukiwa kama watanzania na watu wa karibu na marehemu fredy kaombwe tunaomba taarifa za kuaminika .

  1. Kauwawa


  2. Kajiuwa


  nb : Chanzo cha umauti wake ingekuwa busara kwa mtu anaye juwa habari halisi..

  Nawakilisha
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Huyu Fred Kaombwe ni nani?............tujuzane pia
   
 3. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, inasemekana amejiua mwenyewe kwa kujipiga risasi, sababu ya kufanya hivyo haijulikani.
   
 4. N

  Nanu JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Fred Kaombwe alikuwa nani? Alikuwa anaishi wapi? Alikuwa anafanya kazi gani? Alifariki lini?
   
 5. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapa Wanawasiliana watu wanaojuana wawili tu au inakuaje ?? Fredy Kaombwe Ni Nani ???
   
 6. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Nimesikia kwenye Radio kuwa amejiua baada ya kumfumania mkewe na Mwanaume mwingine... Pia mke wake amemjeruhi kwa risasi na sasa yupo Hospitalini amelazwa... RIP Fred...
   
 7. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa ni mmoja ya waanzilishi wa dodoma one.. Kwa hiyo kwa wale wanoishi dom ndiyo ingekuwa rahisi kuona au kusikia ukweli kuhusu hili clouds wanatakiwa kufanya uchunguzi kidooogo kabla ya kwenda hewani kuna mtu ame ni pm jamaaa kauwawa
   
 8. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Jamani msipate shida ntaenda magorofa mengi mkabala na barabara ya iringa road ili nikapate habari zaidi,saa9 kasoro ntakuja na feedback.
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ni kweli kamfuma wife anapigwa ile kitu roho inataka....
   
 10. L

  Leornado JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Fred alikuwa mchumi wa wilaya ya Chamwino. Mwaka huu mwezi machi karudi nchini kutokea Korea alikopelekwa na serikali kusomea masters, aliporudi naona kukawa na mogogoro ya kifamilia iliyochukua maisha yake. He was one of my closiest friend. Nimelia sana sana na bado namlilia Fred.

  Kwa jinsi nilivyomfahamu Fred, hakuwa mtu wa kujiua kirahisi hivi, wenye ukweli watujuze.

  RIP my friend, nakumbuka jinsi ulivyokuwa mtu wa watu nandio sababu vijana wote TZ tunakulilia.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nasikia mgoni alikuwa anajiexpress jamaa kwa hasira kamlima shaba mkewe na yeye akaamua kujilipua na shaba alimfuma guest house
   
 12. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  MAISHA: Mume ajiua kwa risasi, amjeruhi mkewe

  Mume ajiua kwa risasi, amjeruhi mkewe


  INADAIWA kuwa, miaka kadhaa iliyopita, mume wa Vicky aliuawa kwa kupigwa risasi, na sasa mumewe mwingine KAJIUA kwa kujipiga risasi mjini Dodoma.  Mke wa marehemu, Vicky Kaombwe (34) naye kapigwa risasi, kalazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma iliyopo mjini humo.  Polisi wamesema, mume wa Vicky, Ofisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino yenye makao yake jirani na Ikulu ndogo ya Serikali, nje ya mjini wa Dodoma, Fredy Kaombwe (28), amejiua kwa kijipiga risasi kichwani.  Kuna taarifa zinazodai kuwa, Fredy hakujipiga risasi kichwani ila kifuani.  Kwa mujibu wa Polisi, Fredy alijiua muda mfupi baada ya kumkuta mkewe akiwa na mwanamume mwingine baa mjini Dodoma.

  Inadaiwa kuwa, baada ya kumkuta mkewe hapo baa, Fred alimkimbiza mkewe na walifika hadi nyumbani kwao, mtaa wa Madole , Kigamboni,mjini Dodoma, wakati Vicky akiwa katika harakati za kufungua geti akapigwa risasi iliyomjeruhi sehemu za mbavu.

  Kuna taarifa kwamba, hali ya Vicky si nzuri, bado yupo hospitali.
  Tukio hilo limekuwa gumzo mjini Dodoma kutokana na mazingira ya kifo cha mume wa Vicky wa awali na huyu wa sasa.
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Alivyoenda Korea mkewe akaachia vitu - Hizi Masters zina gharama yake pia!
   
 14. L

  Leornado JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  acha tu masters imemgharimu maisha, halafu alikuwa anamwamini mkewe sana.Nadhani hiyo miaka miwili alokuwa Korea mkewe alikuwa ana mtu pembeni na hata baada ya marehemu kurudi bado hakuacha uzinzi wake. Kweli mwnamke hata umpe nini haridhiki.

  Onyo:tuweni makini na bastola hasa unapokuw na hasira. Jamani nalia mwenzenu ofisini hakukaliki...namuona rafiki yangu Fredy all the time.
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Masters haina shida,shida iko kwa huyo bibie-uaminifu.
   
 16. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  135373_173922452638779_100000630771814_435581_2269642_o.jpg
  RIP Brother!!
   
 17. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jojipoji asante kwa kutuwekea picha, Mapenzi yanagharimu maisha
  RiP (He is young)
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mmmh Mapenzi mabaya...Mapenzi mabayaaa... Aliimba Banana Zorro... kwenye wimbo wake wa Zoba...
   
 19. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Sasa miaka 28 hata umri wa kuoa kwa wengine kama wachaga bado, si angemwacha tuu na kuoa mwingine? Tena jimama lenyewe limemzidi umri

  RIP Fred
   
 20. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Watu wanachanganya stori. Fredy alimshoot mkewe risasi mbili za mbavuni na yeye akajishoot kifuani. Aliyeuliwa na majambazi ni mume wake wa kwanza Vicky, aliuliwa na majambazi getini wakati anarudi nyumbani.
   
Loading...