Kwa mwenye ratiba ya kuoa nipo hapa pia nina ratiba ya kuolewa

Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35 rangi maji ya kunde kwakua najisikia rahaa nikigusa ngozi hiyo mjasiriamali mkristo mengine mwenye nia pm.
Hayo maji ya kunde yanapatikana mto gani??

Inaelekea huo mto ulishakauka, na maji yake yamebaki kwa wachina

Kesho tutasikia aliye tayari

Hapo maji ya kunde kuna muda nawaza ni ndugu yake na ujasilia mali
 
Mie nina ratiba ya kuacha mke mwakani,vp utanisubiria nipo serious kwa kweli!
 
Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35 rangi maji ya kunde kwakua najisikia rahaa nikigusa ngozi hiyo mjasiriamali mkristo mengine mwenye nia pm.
Kila siku maji ya kunde nikiwa maji ya muhogo sihitajiki kwako ? Wengi wanataka maji haya nawewe kama unata usini pm bali vp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom