kwa mwenye mpenzi,mume au mke, huwa unapenda ufanyiwe nini?

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
wana JF unajua raha ya mapenzi mtu akufanyie kile unachokipenda na wewe umfanyie anachokipenda vilevile,hebu tuambizane huwa unapenda mpenzi wako akufanyie nini mnapokua pamoja? mimi huwa napenda anikumbatie frequently bila kubanduka wewe je?
 
Du! kwa hiyo akiwepo, unataka kila kitu kisimame.......... ni kukumbatiana tuuuuuuuuuuuuuu. huchoki?
 
yani akiwepo huwa inakua ni shughuli maana akiondoka huwa nanuna ila nakua sina alternative inabidi nimwache afanye shughuli zingine ila for real napenda anikumbatie tuuuuuuuuu sitamani hata aondoke
 
1.Aningalie machoni,aniambie ananipenda
2.anikumbatie mara kwa mara...:hungry::hungry:
 
yani akiwepo huwa inakua ni shughuli maana akiondoka huwa nanuna ila nakua sina alternative inabidi nimwache afanye shughuli zingine ila for real napenda anikumbatie tuuuuuuuuu sitamani hata aondoke
Akukumbatie tu huku shughuli nyingine inaendelea au?Mimi akianza kunikumbatia tu najua huwa ni mwanzo wa safari nyingine ndefu kuelekea raha zaidi
 
anikumbatie tu tena kwa nguvu huku akiniambia maneno mazuriiiiii yani huwa i feel the world is mine
 
Awe na kiherehere kwangu, asinifiche chochote nitakachoulizia na asiniibie...!
 
Acheni mbwembwe hapa ndugu zanguni......wote kwa pamoja tunapenda Kufanya ngono....hii kukumbatia, kubusu, sijui nini......hivi vyote ni vikolombwezo tu vya Ngono....so in general tunapenda Ngono....Imagine kama utakua unabusiwa au unakumbatiwa bila Kubandua au Kubanduliwa...UTAKUBALI???????????????????????
 
wana JF unajua raha ya mapenzi mtu akufanyie kile unachokipenda na wewe umfanyie anachokipenda vilevile,hebu tuambizane huwa unapenda mpenzi wako akufanyie nini mnapokua pamoja? mimi huwa napenda anikumbatie frequently bila kubanduka wewe je?

Artificial intellegent Lie
 
Acheni mbwembwe hapa ndugu zanguni......wote kwa pamoja tunapenda Kufanya ngono....hii kukumbatia, kubusu, sijui nini......hivi vyote ni vikolombwezo tu vya Ngono....so in general tunapenda Ngono....Imagine kama utakua unabusiwa au unakumbatiwa bila Kubandua au Kubanduliwa...UTAKUBALI???????????????????????

kwani mapenzi ni ngono? mwingine hata kuwa karibu na mpenzi wake anajisikia faraja so u mean mtafanya mapenzi siku nzima au kila siku? hayo mawazo potofu kuna moment ambazo hamuwezi kufanya ngono ila inakua fresh moment kwa wapenzi
 
Quest your very funny, mambo wanayopenda wanawake na wanaume tofautii sana . mke anaweza ridhika kwa kumkumbatia na kumwambia "baby i love you", pole na kumgusa mgongo kwa kumbembeleza na wala kusiwe na ngono hata ipite wiki, but men ni hadi ngono. Wanawake wanakuwa driven na emotional za ndani sanaaa na kamwe usifanye makosa ya kumrukia kutaka ngono bila ya mabembelezo yooote, simu za mahaba, zawadi ndogo, maneno matamu, kumkumbatia ndio anaona raha ila ukirukia tuu ngono pole katu hataridhika.
 
Back
Top Bottom