wana JF unajua raha ya mapenzi mtu akufanyie kile unachokipenda na wewe umfanyie anachokipenda vilevile,hebu tuambizane huwa unapenda mpenzi wako akufanyie nini mnapokua pamoja? mimi huwa napenda anikumbatie frequently bila kubanduka wewe je?
Du! kwa hiyo akiwepo, unataka kila kitu kisimame.......... ni kukumbatiana tuuuuuuuuuuuuuu. huchoki?
Akukumbatie tu huku shughuli nyingine inaendelea au?Mimi akianza kunikumbatia tu najua huwa ni mwanzo wa safari nyingine ndefu kuelekea raha zaidiyani akiwepo huwa inakua ni shughuli maana akiondoka huwa nanuna ila nakua sina alternative inabidi nimwache afanye shughuli zingine ila for real napenda anikumbatie tuuuuuuuuu sitamani hata aondoke
Akukumbatie tu huku shughuli nyingine inaendelea au?Mimi akianza kunikumbatia tu najua huwa ni mwanzo wa safari nyingine ndefu kuelekea raha zaidi
wana JF unajua raha ya mapenzi mtu akufanyie kile unachokipenda na wewe umfanyie anachokipenda vilevile,hebu tuambizane huwa unapenda mpenzi wako akufanyie nini mnapokua pamoja? mimi huwa napenda anikumbatie frequently bila kubanduka wewe je?
Mimi bwana yote tisa kumi anibembeleze na kuniambia Baby I love you" That's all
Acheni mbwembwe hapa ndugu zanguni......wote kwa pamoja tunapenda Kufanya ngono....hii kukumbatia, kubusu, sijui nini......hivi vyote ni vikolombwezo tu vya Ngono....so in general tunapenda Ngono....Imagine kama utakua unabusiwa au unakumbatiwa bila Kubandua au Kubanduliwa...UTAKUBALI???????????????????????
Hiyo ya kukumbatia inaapply tu kwa mpenzi/BF, haitaapply kwa mume...
anikumbatie tu tena kwa nguvu huku akiniambia maneno mazuriiiiii yani huwa i feel the world is mine