Kwa mwenye kuijua hii dawa naomba maelezo kidogo Omega 48

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,548
3,542
Kwa mwenye kuijua hii dawa naomba maelezo kidogo, Nimesikia ni dawa nzuri ya asili ambayo inatibu magonjwa mengi ya mifupa mana mzee wangu kuna mguu unamsumbua na kuna mtu kanambia niitafute hii Omega 48,,So kwa mwenye kuijua vizuri na upatikanaji wake hapa Tz naomba msaada
 
Naijua Omega Seven Seas, inafanya kazi ya kumaintain kumbukumbu, kulainisha viungo, kuimarisha mifupa na ina fat. Mabaunsa hua wanaitumia hii.

Sijajua kama ndiyo unayoimaanisha hapa.
 
Naijua Omega Seven Seas, inafanya kazi ya kumaintain kumbukumbu, kulainisha viungo, kuimarisha mifupa na ina fat. Mabaunsa hua wanaitumia hii.

Sijajua kama ndiyo unayoimaanisha hapa.
Nadhani sio hiyo,,hyo 48 inadili zaidi na mifupa,,kuna details chache google lkn hakuna taarifa za upatikanaji wake
 
Nadhani sio hiyo,,hyo 48 inadili zaidi na mifupa,,kuna details chache google lkn hakuna taarifa za upatikanaji wake
Kama upo Dar tembelea maduka kama Faru Pharmacy, Mwananyamala, na Nakiete, Mwenge. Unaweza kugewa alternative yake au ukaikuta yenyewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom