kwa mwenye ile clip ya mh Rais akitaja namba zake za simu tafadhali akiweke hapa.

karanga mbichi

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
268
222
Jana nikifatilia mkutano wa rais na wafanyabiashara nilipitwa na sehemu ya hotuba/maagizo ya mh rais magufuli kwa mama samiah mpaka alipotaja namba zake za simu..
 
Hahaa kama vile naona kila mtz atakuwa na no ya Rais. Ni mi naomba niwe namtumia message za good morning na good night.
 
Jana nikifatilia mkutano wa rais na wafanyabiashara nilipitwa na sehemu ya hotuba/maagizo ya mh rais magufuli kwa mama samiah mpaka alipotaja namba zake za simu..

Namba ya mkuu wa takukuru ndio ilitolewa hadharani sio za jpm, na yule wa mbeua alipewa contact ya mpambe wa jpm
 
Back
Top Bottom