impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,755
- 7,684
Hawa TANESCO wanashindwa kuiendesha kampuni kwa faida ni hasara tupu tatizo ni ukosefu wa weredi wa watu waliopewa dhamana kusimamia! Tatizo ni siasa na ukosefu wa uzalendo kwa waliopewa dhamana wasomi (wataalamu) wanatumika kwa maslahi ya watu flani kisiasa.
Mpaka leo Umeme unaozalishwa TANESCO usipopata matumizi huharibika bure (hasara)
Mpaka Leo hii TANESCO hawawezi kutunza (kifaa cha kutunza Umeme .electrict power bank) Umeme unaoingia katika mzunguko hivyo huharibika bure hasara. Kwa ninachokiona TANESCO haiwezekani kuendelea kwa walivyo najiuliza hivi ninyi Wahandisi (Engineers) wa Umeme TANESCO mmeshindwa kushauri nini kifanyike kutunza Umeme usiharibike bure?
Shirika la Umeme kama TANESCO hata mwenye Elimu ya kidato cha nne hawezi shindwa kuiendesha kwa faida.