Kwa mwenendo wa sisi wanaume nazidi kuamini siku hizi wanawake wana akili kubwa kutuzidi

Niaje mababu na mabibi,,,,,

Okay,,,najua mko fresh kinya,,,,,,Kinyamaa ama nini,,,

Twende kwenye mada husika,,,,

Oooh my God,,,kabla ya yote kwanza niwakumbushe Wana JF wote kumpgia kura LISSU mzee wa kuwakera,Hyo 28 October.

Sasa Basi twende kwenye mada husika.

Siku hizi ukitembelea mitandao yote lazima ukutane na vijana wa kiume wakilalamika kuwa siku hizi wanawake wanapenda pesa,si Facebook,Instagram, Twitter na huku huku JF mada ni hiyo hiyo.

Siyo kwamba nimeleta mada hii eti siamini kuwa wanawake siku hizi wanatanguliza pesa kwenye mahusiano,,,?? Hapana,,,Ila kinacho niumiza ni kuona wanawake kubadilisha mfumo wa kutoka kupendana kibinadamu na kuelekea kupenda pesa kuliko kitu chochote huku sisi wanaume tukibaki tukiamini kuwa mapenzi bado yapo.

Inasikitisha kuona Dunia ya Sasa kuona Kuna mwanaume anamfuata mwanamke na kumwambia eti "NAKUPENDA",,Acha nicheke kwanza,

Hii Dunia ya leo usitegemee kumwambia mwanamke "NAKUPENDA" Akakukatalia,,Hawezi kukukatalia Ila atafurahi Mana kwenye Roho yake tayari anajua kapata kazi ya kumpa kipato kizuri,
Na siyo kwamba atakubali kwa kuwa amekupenda, La hasha, Ila anajua jinsi ya kujitoa kwako ni kukupgia mizinga ya fasta fasta mpaka unyooke na ukimbie mwenyewe kuja mpaka JF kufungua uzi wa kupigwa mzinga,

Mimi nishatoka kwenye mfumo mzima wa kumtongoza mwanamke toka 2017,huwez kunikuta Mimi namwambia mtoto wa watu eti NAKUPENDA wakati najua kabisa nikishamwambia hivo ananibebesha shida zake zote,

Siku hiz Mimi huwa namfata mwanamke Direct namwambia shida yangu kwake,wakati mwingine namwambia wazi kabisa nahitaji nikugonge Nina kiasi hiki Cha pesa,Mara nyingi Hawa viumbe ukiwambia Direct wanajifanya kuwa wakali,,Mara oooh umeniona me Malaya etiii,,,pale mhuni nacheka huku nikimwambia "ningekua nahitaji Malaya ningeenda barabarani wanako jipanga ili ninunue nimalizane nae,nimekuja kwako kwa sababu naona unastahili kulala na mimi,Mtoto wa kike analainika anabaki kuguna guna tu Mmmmh Mmmmh Mmmmmh Kama chizi,,,
Ila hutakiwi kumfuata mwanamke na kumuomba mzigo ukiwa rafu rafu,hakikisha uko smart na una kikazi chako ili aamini baada ya mnyanduano utampa chochote.

Mtoto wa kiume toka kwenye huo mfumo wa kumwambia mwanamke eti unampenda,Nenda kwenye mfumo wa kumpa mwanamke pesa baada ya kumaliza "sex",
Mfumo wa mwanaume kumpa mwanamke pesa ya Saloon,Kodi, bills,Mama ana umwa, Birthday party na uchafu mwingine Kama huo,huo ni mfumo wa kizamani Sana,Huo mfumo ulikuwepo enzi za nyuma ambapo mwanamke ukimfanyia hayo ujue papuchi yake ilikua ni yako peke yako.

Wanaume wenzangu tutoke huko kwenye huo mfumo,mfuate mwanamke mwambie nataka hiyo kitu,na mwambie pesa ipo,wanawake wote siku hiz wanauza wakiwemo dada zangu.

Nina Imani ukianza kuishi kwa mfumo huo hutakuja kulalamika Tena eti wanawake wanapenda pesa,Nenda kwenye mfumo ambao wanawake wakilala na wew ndo waamini watakula hela yako,
Kinacho umiza vijana wengi ni kuombwa hela,Ila huwez kukuta mwanaume analalamika kwa ile hela anayotoa baada ya kula mzigo.

Siku hizi wanawake wengi hawaoni sababu ya kujulikana eti wanajiuza Ila wanacho kifanya ni kuwa na account fb ambapo Kuna mafala wengi,anakua anapost picha matata akionyesha makalio huku kaandika maneno ya Mungu kabisa,kumbe mwenzio muda huo Yuko chumbani kwake anacheki season akisubiri fala limoja limfuate inbox limwambie NAKUPENDA,nae anajibu "Mmh Asante" anakuchatisha kidogo tu Mara paaaah,,, "Naomba unisaidie 20000 hapo Kama unayo,,Nimepigiwa simu hapa saiv mama Yuko hoi kameza wembe (joke).

Wadada Kama Hawa kuwala kwa kuwatongoza ni ngumu,na hata ukimla kwa kumtongoza ujue umetumia gharama kubwa Sana,siku hizi wanawake Wana amini mwanaume anae tongoza ndo wa kumla hela,na ukimpa hela kabla ya kumla anakuona fala na atakuzungusha kukupa mzigo ili aendekee kuzikamua pesa zako Mana kashakuona fala.

Juz hapa Kuna lidada liko fb muda wote Mambo ya dini Sana,nikalitext messenger nikaliambia "Natamani siku moja nikuto,,,,",,Ilikua mida ya saa 4 usiku,nikazima data huku nikijua kabisa Kesho nakuta block au matusi,bahati nzuri nikakuta kajibu "mdogo wangu mbn unaonekana msitaarabu" nikaendelea kumkazia,mwisho akanikaribisha kanisani kwao,jumapili iliyo pita nikaenda kanisani kwao,jumatano mida ya saa 4 nikiwa job akanambia anahitaji apajue hom,mida ya jioni nikampitia kazini kwake nikampeleka mpaka hom,siku ile akanambie hataki bila kupima,nakamwambia fresh Jana jmos kaja hom tukapima na nikala mzigo,na kanambia tutakua tuna enyoj tu Mana ana mchumba wake,Kesho kanambia nimpitie Tena jion,

Vijana acheni kutongoza,wanawake washatoka kwenye mfumo huo,mwambie nataka hiyo kitu niitafune,hakikisha uko smart,na unaishi sehemu nzuri
Maisha yako yako yape thamani ili uepukane na kutongoza,ishi maisha ambayo mwanamke atajua akilala na wew baada ya show atapata chochote,Acha kushobokea Hawa viumbe utaishia kuombwa pesa ya kusuka na simu mpaka ukome,Ishi maisha ambayo hata wanawake wakikuona waseme unajiskia bro.

Ni hayo tu Machizi wangu.

Mkuu ni kweli kabisa mimi binafsi imenitokea ke mmoja nilimtongoza mpaka leo hajanipa mzigo na nikaribu miez sasa na nampa pesa za matumiz na kweli ananichuna sana lakin kuna mmoja nilimwambia direct ntakupa pesa nataka mzigo na nimfanyakaz hosp kaelewa sasa najilia tu nikimaliza nampa elf20 anasepa na anajamaa yake hata tukiwa wote anaongea nae fresh imekuwa km mchezo tu na tunainjoy nikiwa na ham na napesa namchek anakuja
 
Kinachosikitisha zaidi hujui utampa sh ngapi mpaka asikusaliti, hebu tujiulize hata hawa mabosi wakubwa pamoja na mihela yao yote lakini wanasalitiwa,

Mimi mpaka leo nakupa nikijiskia tu,

Atakayeipata hela anayoomba ni mke wangu tu kwa vile Niko nae ndani
 
Wanawake wengi wa hapa mjini ni take-away haijalishi ni demu wa mtu au mke wa mtu.

Kumiliki demu mjini hapa inataka moyo wa chuma usio na chembe ya wivu, sawa na kuamua kufuga ng'ombe ili ukamue maziwa ilihali maziwa yamejaa tele mtaani.

Kimsingi sijawahi kubandua demu wa kumpata kwa style hio. Ila nitajaribu nione kama itafanya kazi kwa mwanamke yeyote atakayenivutia kimuonekano. I wana prove this theory.
 
Wanawake wengi wa hapa mjini ni take-away haijalishi ni demu wa mtu au mke wa mtu.

Kumiliki demu mjini hapa inataka moyo wa chuma usio na chembe ya wivu, sawa na kuamua kufuga ng'ombe ili ukamue maziwa ilihali maziwa yamejaa tele mtaani.

Kimsingi sijawahi kubandua demu wa kumpata kwa style hio. Ila nitajaribu nione kama itafanya kazi kwa mwanamke yeyote atakayenivutia kimuonekano. I wana prove this theory.
Bro hsijarishi utakataliwa Ila Anza huo mfumo,hutojutia nakwambia.
 
Umeanza hovyo ila umemaliza vizuri,
Nakukumbusha tu wabelgiji sio watu wazuri,
Tar 28 kura kwa catapiller
 
MIMI KUNA WAKATI MPAKA NAWAONEA WIVU WATU WALIOOA, KISHA NAJIULIZA HIVI WAO WALIFANYAJE? MAANA UNAKUTANA NA MSICHANA UMEMPENDA UNAFIKIRIA KUMUOA UNAANZA KUPIGWA MIZINGA, YANI ASUBUHI PESA MCHANA PESA NA JIONI PESA. MPAKA UNAHISI UNAMFANYIA KAZI YEYE, MWISHO WA SIKU UNAAMUA KUJITOA TU KWENYE MAHUSIANO.
SASA NAJIULIZA WALIOOA NAO WAKE ZAO WALIWASUMBUA KUWAOMBA FEDHA HIVI?
 
MIMI KUNA WAKATI MPAKA NAWAONEA WIVU WATU WALIOOA, KISHA NAJIULIZA HIVI WAO WALIFANYAJE? MAANA UNAKUTANA NA MSICHANA UMEMPENDA UNAFIKIRIA KUMUOA UNAANZA KUPIGWA MIZINGA, YANI ASUBUHI PESA MCHANA PESA NA JIONI PESA. MPAKA UNAHISI UNAMFANYIA KAZI YEYE, MWISHO WA SIKU UNAAMUA KUJITOA TU KWENYE MAHUSIANO.
SASA NAJIULIZA WALIOOA NAO WAKE ZAO WALIWASUMBUA KUWAOMBA FEDHA HIVI?
Dah kupenda madeni kweli
 
Umeandika ujumbe mujarabu katika lugha ya mzaha, kama maziwa uhakika ya nini ufuge ng’ombe!

Nikiwa mkubwa nitatumia mbinu hii, au nyingine ikija mpya unistue.
 
Sisikilizi maoni ya mtu , kwa namna muumba alivyotupa madaraka ME bas fahamu ulichoandika ni fahamu zako fupi isitoshe unatumia mali kuwanyanyasa KE hususani wale wenye kipato kidogo mwanamke mwenye pesa na kazi yake hawez kuingia kirahisi
 
Sisikilizi maoni ya mtu , kwa namna muumba alivyotupa madaraka ME bas fahamu ulichoandika ni fahamu zako fupi isitoshe unatumia mali kuwanyanyasa KE hususani wale wenye kipato kidogo mwanamke mwenye pesa na kazi yake hawez kuingia kirahisi
Kwa taarifa yako hao wenye kipato ndo Wana lika kirahis mkuu,kikubwa jikubali.
 
Back
Top Bottom