Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
Baada ya kufuatilia vizuri uchaguzi wa kata 43 na kuona yaliyotokea na CCM ikashinda kata 42 kati ya 43
Nimegundua CCM itashinda kwa kishindo na kurudisha kata na majimbo waliyopoteza
Nasema hivyo kwa sababu hadi sasa sijasikia kauli yoyote ya kiongozi wa upinzani akizungumzia matokeo ya uchaguzi mdogo
Ni kwanini tumeanguka zaidi hadi sasa kinachoendelea
1.Hadi sasa CUF kuna mpasuko
Mkubwa kati ya CUF maalim na cuf lipumba hawaelewani
Na wameshapelekana mahakamani
2.ACT viongozi wake wametimkia ccm akiwemo mgombea uraisi
2015 ambaye sasa ni mkuu wa mkoa.
3.Viongozi wa ACT na makamanda
Wa ACT wamekimbilia wote CCM
Amebaki zitto bado hajui afanye
Nini maana aliowategemea akina
Kitila, mwigamba wameshamkimbia
4.Mbatia ambaye ni mmoja wa
Majemedari na wanasiasa wenye
Ushawishi mkubwa kisiasa ameamua kukaa kimyaa tangu
Mwaka jana hajasikika hadi
Leo na nccr hatujui hatma yake.
5.CHADEMA kupitia mbowe
Wameshakata tamaa na dalili za kukata tamaa ni kauli ya mbowe madiwani
Wajiondoe katika uchaguzi
Wa kata tano na ccm imeshinda na ccm
6.Mpaka sasa CHADEMA baada ya kuanguka uchaguzi mkuu
2015 hadi sasa hatujajua ni wapi tulipo hatujajua ni wapi tulipo angukia na kama
Tunajua ni hatua gani viongozi wamechukua ili 2020 turekebishe wapi tumekosea
7.Wakati CHADEMA wakiwa katika majonzi ya kupata kata moja kati ya 45 viongozi wakubwa kama akina Lowasaa, Sumaye na wengineo hatujasikia watoe
Tamko lolote wote wako kimya kama hawajui kinachoendelea.
8.Baada ya kuanguka katika
Kata 43 na hakuna hata kiongozi aliyetoa sababu kwanini tumeshidwa na kama ipo sababu ni tahadhari gani imechukuliwa hadi sasa.
Kwa mwenendo huu wa upinzani ccm ni lazima ishinde uchaguzi wa 2020 kwa kishindi
Itashinda kwa kishindo na kurudisha majimbo yote