kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 5,988
- 6,645
Hii nchi tungekuwa na mjinga mwingine kama wewe tungekuwa hatarini sana. Watu kujadili katiba tena ukumbi wa ndani kunashida gani? Mnataka wajadili tozo kisha mzifute kutafuta u-hero?? Nchi gani guru watu hawaruhusiwi kukutana na kujadiliana? Labda Korea kaskazini...Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA.
Leo hii tunajionea tena Chadema ikigeuka kuwa gunia la kinyesi lisilobebeka yaani hata ukilimwagia marashi ya pemba.
Kwa muktadha huu Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kutuwekea mustakabali wa kitaifa yaani kufikiri na kutenda maendeleo.