Kwa mwenendo huu, sasa imedhihirika waziwazi kwamba Tanzania hatuna uongozi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mwenendo huu, sasa imedhihirika waziwazi kwamba Tanzania hatuna uongozi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Jan 14, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wandugu,
  Kwa jinsi mambo yanavyoendelea nchini kisiasa, kijamii na kiuchumi, je, tunaweza kukiri mbele ya mataifa mengine kwamba nchi yetu ina uongozi??? Binafsi sioni dalili ya uwepo wa uongozi kwa maana ya uongozi uliowekwa na wananchi na ambao upo tayari wakati wowote kulinda maslahi ya wananchi. Hakika siuoni.
   
 2. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Idhihirike mara ngapi bwanaaaa?
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kama ni kujidhihirisha imetokea mara nyingi.
   
 4. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mie naonaga kama ni maigizo. Wanaigiza kutawala na sisi tunaigiza kutawaliwa. There's no serious in their deeds thats y they don't care what direction the state goes.
   
Loading...