Shebbydo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,174
- 1,937
Habari wanaJF,
Nianze na kueleza aina tatu za watu na akili zao.
1:Small minded people; hili ni kundi la watu ambalo watu wake hupendelea kujadili watu na siyo mambo.
2:Middle-minded people; hili ni kundi la watu ambalo watu wake huongelea mambo na kuyaacha jinsi yalivyo bila kuyatafutia ufumbuzi.
3:Large-minded people; hili ni kundi la watu ambalo watu wake huongelea mambo na kuyatafutia ufumbuzi.
Nimejaribu kuchunguza mijadala mbalimbali hata ya wanasiasa wetu na nyuzi mbalimbali zinazoanzishwa hapa JF nyingi ni kujadili watu badala ya mambo. Thread nyingi zilizobeba mijadala ya watu inacomment nyingi kuliko zilizobeba mijadala ya mambo.
Hata thread zinazokuwa na mijadala ya mambo mingi ni kulalamika tu. Je, Watanzania wenzangu hamuoni kama tunaonesha kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri? Hebu tukuze uwezo wa akili zetu, ili tuikomboe nchi yetu, kisije kizazi cha miaka ya 2100 kikasema babu zetu wa miaka ya 2000 walikuwa bado ni primitive.