Kwa mwendo huu wa Zuchu, kweli ni haki H-Baba kulalamika na kusema vile kuhusu Nandy

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
2,495
2,000
Hivi huwa unalipwa ???....

Ukikosa busara bhasi weka heshima kwa watu waliomtangulia na kama ukishindwa hata hilo bhasi kuwa na adabu kwa watu wenye umri sawa au zaidi ya mama yako kama Saida..

Weka mipaka kwenye drama na ushabiki wenu wa kipuuzi
ok but nilimjibu kutokana na mdau kumsema zuchu NI takataka, so nikamuonyeaha kuwa kila mtu akiamua kumdefend anayempenda wako pia ataonekana takataka so calm down
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
2,866
2,000
ok but nilimjibu kutokana na mdau kumsema zuchu NI takataka, so nikamuonyeaha kuwa kila mtu akiamua kumdefend anayempenda wako pia ataonekana takataka so calm down

kwa hiyo unaweza kwenda low kiasi hicho kwa kumdefend mtu ambaye ni alien kwenye daily life lako !!.

Reading between lines hufanani na hiyo personality unayotaka kuwaaminisha watu kuwa unayo. You are a way too smart for these kind of drama brother
 
Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
8,415
2,000
Hivi huwa unalipwa ???....

Ukikosa busara bhasi weka heshima kwa watu waliomtangulia na kama ukishindwa hata hilo bhasi kuwa na adabu kwa watu wenye umri sawa au zaidi ya mama yako kama Saida..

Weka mipaka kwenye drama na ushabiki wenu wa kipuuzi
Huyo dogo achana nae , ameanza kuwajua wasanii baada ya kununuliwa smart phone na shemeji Yake.

To
 
Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
2,495
2,000
kwa hiyo unaweza kwenda low kiasi hicho kwa kumdefend mtu ambaye ni alien kwenye daily life lako !!.

Reading between lines hufanani na hiyo personality unayotaka kuwaaminisha watu kuwa unayo. You are a way too smart for these kind of drama brother
i know that's why I struggle for humanity protect
 
anthony_art

Senior Member
Jul 9, 2020
173
250
Mimi nimeuliza tu wewe unatukana.
Maana kila nikicheki nyimbo zote za wasafi nasikia tu "inama inama babalao babalao samahani samahani nisamehe nisamehe" nabaki tu kujiuliza huu ndio utunzi wa siku hizi unaotoa tunzo au kuna kitu kingine nyuma ya pazia?
Mimi sina ushabiki wa kundi lolote ila nimefikiria tu nikauliza
Broh unaongelea nisamehe ya Zuchu au?? Kama Ni hivyo ukapimwe akili..over
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom