Kwa mwendo huu wa Zuchu, kweli ni haki H-Baba kulalamika na kusema vile kuhusu Nandy

Hivi ile movement ya mtandaon sjui ya chadema..imeshindwa kuanza kumnyima huy mtoto views na trending kabla ya awards?..mana walikuja kwa kasi lakin mtoto wa watu bado karud no moja na views kede kede

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Zuchu kama zuchu, msanii wangu pendwa!! Yaani kwa huyu Zuchu hata kama uponde vipi wala siezi kukuelewa!! Mdada yupo fire sana, ni fulk package , kakamilika kwa kila kitu!!
Mtoto anajua kuandika, anajua kuimba, sauti kali , she is beautiful, sasa kwanini nisimpe support!!
Go go baby girl!!
 
Definitely Zuchu ndio ataenda kushika ushukani na atakuwa threat hata kwa Wasanii wakiume cos anajuhudi na Kasi hii akiendelea nayo atazidi kuwa mkubwa Sana.All in all ngoma yake ya nobody aliyotoa leo Ni bonge la ngoma naona nae ameanza kuimba kizungu
Nini maana ya juhudi.
Hivi kumbe hata kuimba utopolo pia huwa kuna juhudi?
 
Nini maana ya juhudi.
Hivi kumbe hata kuimba utopolo pia huwa kuna juhudi?
pumbavu mkubwa, utopolo angekuwa Grammy, afrimma, aeusa, Nigeria awards, na ujue hata kunya tu ni juhudi that's why ukienda kunya unakamia show, so Kama kuimba kaimbe shenzi
 
pumbavu mkubwa, utopolo angekuwa Grammy, afrimma, aeusa, Nigeria awards, na ujue hata kunya tu ni juhudi that's why ukienda kunya unakamia show, so Kama kuimba kaimbe shenzi
Mimi nimeuliza tu wewe unatukana.
Maana kila nikicheki nyimbo zote za wasafi nasikia tu "inama inama babalao babalao samahani samahani nisamehe nisamehe" nabaki tu kujiuliza huu ndio utunzi wa siku hizi unaotoa tunzo au kuna kitu kingine nyuma ya pazia?
Mimi sina ushabiki wa kundi lolote ila nimefikiria tu nikauliza
 
hakuna kuuliza wewe kama nani...?na Kama hauko WCB sepa sawa, hizo ndo nyimbo tunazozipenda WCB fans wa tz na duniani so wewe Kama sio WCB fans tuachie label yetu na nyimbo zetu.
 
usiseme watu wote wanazipenda sema wewe unazipenda kwa sababu una akili utopolo na huna uwezo wa kuchuja nyimbo nzuri ikoje,utunzi mzuri ukoje.
Kwa anayejua nyimbo nzuri hawezi kushobokea jina kama wewe ufanyavyo.

nimesema WCB fans na sio watu wote, na ndio maana haujaona fans wa WCB wanaziponda sawa dogo.
 
Zuchu bado hajaweza kufika kwenye kilele cha mafanikio, mpaka sasa naona anakuzwa tuu kuliko uwezo wake
 
Ni kwa vile hamjui maana ya mziki mzuri mdogo wangu.umeelewa mdogo wangu.
Mziki sio kutumia minguvu mingi ni kipaji na akili.
Me nazani wewe utakuwa aged kidogo hizo Aina za nyimbo unazozitaka wewe sio rafiki kwa kizazi hiki na wasanii wanatoa ngoma kwa kuangalia mashabiki wanataka Nini ndio maana ngoma Kama gusanisha ya Gnako inakuwa hitsong ingekuwa kipindi chenu isinge hit
 
Tanzania na Afrika Mashariki msanii wa kike no ZUCHU, huyo Saida kalori na wengine ni takataka na uchafu square

Hivi huwa unalipwa ???....

Ukikosa busara bhasi weka heshima kwa watu waliomtangulia na kama ukishindwa hata hilo bhasi kuwa na adabu kwa watu wenye umri sawa au zaidi ya mama yako kama Saida..

Weka mipaka kwenye drama na ushabiki wenu wa kipuuzi
 
Saida kalori Ni mama mwenye heshima na legendary wetu huyo jamaa kamkosea heshima
 
Zuchu lebo inambeba ila Nandy nyimbo zake hit songs kweli kweli .

Zuchu yuko vizuri zaidi live performance ila nandy live ni aibu hata sauti ni shida
Kale kamekalia kutiana tu ndi maana hata pumzi hamna pale jukwaani.
Tena kakiolewa na yule jamaa ndio kwisha kabisa. Anyhow kademu ni ka pare unategemea nini
 
Labda useme hivyo hapo kidogo nakuelewa.
Ila sio kuniambia fulani anaimba sana au anajua sana kuimba nitakukatalia.
Lakini ukiniambia wanigeria,wasouth africa na wacongo wanajua kuimba nitakukubalia wale wenzetu wametafuta brand zao za muziki yaani kila nchi ina icon yake.
Ila huku kwetu haieleweki mara waige kule mara waige huku wanaungaunga tu mwisho wa siku kinachoimbwa hakieleweki.

Back
Top Bottom