Kwa mwendo huu, Ujenzi wa SGR yetu kuja kukamilika nadhani utachukua hadi miaka 20

Bado akili haijakomaa. Kuna jamaa humu aliandika kuwa sasa vyuma vimelegea kwa vile wakubwa wanadonoa donoa ingawa sisi bado hali ni ngumu kama wakati wa JPM. Hujui kuwa Rais kwetu hapa ni Mungu mdogo kikatiba?

Kwa hiyo JK ni rais?
 
Hii miradi ya SGR na JNPP isipoisha huyu mama asichaguliwe tena, lakini kama sukari, maji, mafuta ya kula havipatikani kirahisi ambavyo naamini ni vitu vidogo sana sijui kama ataweza hiyo miradi,naanza kuwa na wasiwasi na uwezo wake kuongoza
 
Back
Top Bottom