Kwa mwendo huu natabiri rasmi Lowassa ni mgombea na rais wa Tz bila kupingwa CCM!

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
May 1, 2012
421
160
Kama kweli we ni great thinker utaona strategy zinazotumika kwenye siasa zetu Tanzania sahivi. Ni dhahiri kuwa wapinzani ndani ya CCM na nje wanapumbazwa kwa kutendewa kama wapo pamoja na utawala wa sasa ..na tena inaenda zaidi kwa kuwaoneshwa kuwa utawala wa sasa upo tayari kuwachia utawala mara muda utakapoisha. Lkn ki-ufundi zaidi utagundua wapinzani wanamalizwa kiaina na karibia uchaguzi watapoteza mvuto...na pia utaomna kuna machinery inatengenezwa ndani ya utawala huu ambayo kwa njia moja au nyingine itaratibu Mh. lowassa kuongoza nchi hii tena hoja itakua ugomvi hausaidii chama na mchapa kazi CCM apewe rungu..,hapo Mh..Lowassa atashinda majaribu yanayomkuta na wapinzani watakua wamepoteza muelekeo hivyo nchi ni yake.

Karibu Lowassa 2015.
 
crap-type.jpg
.
 
  • :israel:mhhh umetumia kingezo ngani coz mm sijafikiri hivyo hata kidogo

Fafanua kwa nini Lowassa atakuwa Rais 2015. Afya mgogoro. Mungu amsaidie lakini hujaeleza kwa nini unadhani atakuwa Rais
 
fafanua kwa nini lowassa atakuwa rais 2015. Afya mgogoro. Mungu amsaidie lakini hujaeleza kwa nini unadhani atakuwa rais

simple angalia style ya utendaji wa serikali ya sasa...angalia mwenendo wa waliokua wapambanaji ccm...,angalia lowassa strategies anazoinuka nazo ...,angalia responce ya utawala kwa strategies anazoinuka nazo lowassa..angalia sifa na opportunities wanazopewa wapinzani..na angalia vijana wanao wekwa front na media kuwa ndio wazalendo nchi hii na mwenye mvuto kwa jamii ya vijana tanzania then anagalia baraza la mawaziri..na kisha fikiria kama great thinker...utakubaliana na mie.
 
Yaani kuna watu wa ajabu hapa JF katu sijawahi kuona!!!!

Kwanza mtu anaandika kama anakimbizwa, anachokiandika hakina mantiki na wala hakieleweki!!!!

Ama kweli walimu wetu baadhi walipata taabu sana kufunsisha watu wasioelewa.
 
have you ever in your life think outside the box??

crap.jpg

the visuals i have now ni kwamba we are punishing Lowassa to finish the race while he has already been tarnished, tena by the people who were dear to him, tena zaidi ya mara moja... JKN, JMK nk

Even if he wins, he will be remembered as a person who crapped on his pants while sprinting to win, no one will remember his medal, people will remember his messed up pants

My advice to EL.... be a king maker, do fight to be a king
 
Kama lowasa akiwa rais mie naanzisha movement ya kudai Tanganyika huenda huko hataweza kutawala anaweza kutawala tanzania lakini sio Tanganyika.
 
I do not agree with u.. TIMING..where are the crapped pants..i can only see the winning signs to him.,look all enemies of his are getting political down-shine and his friends her shinning with sparks
 
Last edited by a moderator:
simple angalia style ya utendaji wa serikali ya sasa...angalia mwenendo wa waliokua wapambanaji ccm...,angalia lowassa strategies anazoinuka nazo ...,angalia responce ya utawala kwa strategies anazoinuka nazo lowassa..angalia sifa na opportunities wanazopewa wapinzani..na angalia vijana wanao wekwa front na media kuwa ndio wazalendo nchi hii na mwenye mvuto kwa jamii ya vijana tanzania then anagalia baraza la mawaziri..na kisha fikiria kama great thinker...utakubaliana na mie.

Hata wewe mwenyewe unajua kuwa ulichokiandika ni wishful thinking at best! Najua ungependa iwe hivyo lakini watu wa kawaida wanaopigika na maisha wanajua ukweli halisi.

Mwambie lowasa afanye awezalo hali ya maisha iwe bora na mfumuko wa bei upungue (kama anaweza kufanya hilo na yeye akawa credited kufanya hilo), kinyume chake unalo ota hapa litabakia ndoto tu.
 
Yaani kuna watu wa ajabu hapa JF katu sijawahi kuona!!!!

Kwanza mtu anaandika kama anakimbizwa, anachokiandika hakina mantiki na wala hakieleweki!!!!

Ama kweli walimu wetu baadhi walipata taabu sana kufunsisha watu wasioelewa.

Soma tena post yako,nawe umeandika kama unakimbizwa
 
I do not agree with u.. TIMING..where are the crapped pants..i can only see the winning signs to him.,look all enemies of his are getting political down-shine and his friends her shinning with sparks
ok, mimi naona mkimbiaji ameharisha na hata watazamaji hawaangalii usoni bali kwenye pants

there was a scintillating performance ya Janet Jackson kwenye Superbowl - lakini hadi leo watu wanakumbuka wardrobe malfunction na lile ziwa

the choice is yours
 
Kama kweli we ni great thinker utaona strategy zinazotumika kwenye siasa zetu Tanzania sahivi. Ni dhahiri kuwa wapinzani ndani ya CCM na nje wanapumbazwa kwa kutendewa kama wapo pamoja na utawala wa sasa ..na tena inaenda zaidi kwa kuwaoneshwa kuwa utawala wa sasa upo tayari kuwachia utawala mara muda utakapoisha. Lkn ki-ufundi zaidi utagundua wapinzani wanamalizwa kiaina na karibia uchaguzi watapoteza mvuto...na pia utaomna kuna machinery inatengenezwa ndani ya utawala huu ambayo kwa njia moja au nyingine itaratibu Mh. lowassa kuongoza nchi hii tena hoja itakua ugomvi hausaidii chama na mchapa kazi CCM apewe rungu..,hapo Mh..Lowassa atashinda majaribu yanayomkuta na wapinzani watakua wamepoteza muelekeo hivyo nchi ni yake.

Karibu Lowassa 2015.

Hoja yako bado nyepesi kijana...kajipange upya.
 
Back
Top Bottom