Kama kweli we ni great thinker utaona strategy zinazotumika kwenye siasa zetu Tanzania sahivi. Ni dhahiri kuwa wapinzani ndani ya CCM na nje wanapumbazwa kwa kutendewa kama wapo pamoja na utawala wa sasa ..na tena inaenda zaidi kwa kuwaoneshwa kuwa utawala wa sasa upo tayari kuwachia utawala mara muda utakapoisha. Lkn ki-ufundi zaidi utagundua wapinzani wanamalizwa kiaina na karibia uchaguzi watapoteza mvuto...na pia utaomna kuna machinery inatengenezwa ndani ya utawala huu ambayo kwa njia moja au nyingine itaratibu Mh. lowassa kuongoza nchi hii tena hoja itakua ugomvi hausaidii chama na mchapa kazi CCM apewe rungu..,hapo Mh..Lowassa atashinda majaribu yanayomkuta na wapinzani watakua wamepoteza muelekeo hivyo nchi ni yake.
Karibu Lowassa 2015.
Karibu Lowassa 2015.