Kwa mwendo huu, muda wowote ATC kurudi kwenye koma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mwendo huu, muda wowote ATC kurudi kwenye koma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Consigliere, Nov 15, 2011.

 1. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,026
  Likes Received: 7,419
  Trophy Points: 280
  Ni kama kawaida lakini inasikitisha na kukatisha tamaa sana.
  Baada ya wiki chache tangu kuanza tena kuruka hewani, shirika ndege Tanzania (ATC) limeanza kuonyesha dalili zote kuwa halijapona maradhi yake na muda wowote tutarajie kurudishwa ICU.
  Niliamua kutumia usafiri wa shirika hili ili kuona namna huduma zake zinavyotolewa so nikapanga a kind of safari which was bound to somewhere, root ya safari hiyo ilituchukua masaa manne kufika Kigoma ambapo abiria wengine walishuka na wengine walitakiwa kupanda.
  Hapo ndipo nilipoanza uuona mwisho wa episode nyingine ya shirika hili. Tulicheleweshwa kuondoka ili uhakiki wa abiria ufanyike, kwani ilikuwa reported kuwa kuna abiria 46 na tulipohesabiwa ikaonekana tupo 20 na kitu, hapo ikabidi tuanze kukaguliwa tiket pamoja na boarding pass zetu. Ikagundulika kuwa wengi wetu walikuwa na vitu hivyo lakini hawajaorozeshwa kwenye manifest yao (sina uhakia kama ndivyo iitwavyo) suali ikawa kama hawamo humo je wamepataje vitu.
  Mambo Mengine yalipohitaji kuthibitishwa dar wakadai computer zina matatizo hili nikichanganya na abiria zaidi ya 20 hewa na tiketi zilizopatikana kima-karatee, naliona shirika likirudishwa tena ICU in no time.
   
 2. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  dah!.ng'ombe wa maskini!
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Sasa kama shirika linaendesha kiundugunaizesheni unadhani litafika wapi?
   
Loading...