Kwa mwendo huu, msitarajie wawekezaji watakuja kuwekeza katika nchi ya aina hii

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Kwa haya yanayoendelea hapa nchini na ambayo pia yanaripotiwa na vyombo vya habari vya kimataifa, sitarajii kama kuna mfanyabiashara mwenye kujielewa atavutiwa kuja kuwekeza katika hii nchi achilia mbali ile taarifa ya deni la matrilioni tunalowadai acacia deni ambalo litakuwa pia limeshitua wawekezaji wengine.

Hata hawa wafanyabiashara wa ndani tuliowaomba wajenge viwanda ni lazima na watajiulize mara mbili mbili nini kitatokea siku wakipelekana mahakamani na serikali kama wataweza kupata haki au laa.

Kama tunataka mikataba na wawekezaji iwe na vipengele vya kusuluhisha migogoro kwa kutumia mahakama za hapa nchini,basi inabidi tujitafakari upya.

Tusisahau taarifa hizi(bila kujali ni za kweli au laa) zinasambaa dunia nzima na muwekezaji mwenye nia ya kutaka kuwekeza ni lazima atakuwa interested kujua kila kitu kuanzia hali ya kisiasa,kiuchumi,uhuru wa mahakama,n.k.
 
Kwa haya yanayoendelea hapa nchini na ambayo pia yanaripotiwa na vyombo vya habari vya kimataifa, sitarajii kama kuna mfanyabiashara mwenye kujielewa atavutiwa kuja kuwekeza katika hii nchi achilia mbali ile taarifa ya deni la matrilioni tunalowadai acacia deni ambalo litakuwa pia limeshitua wawekezaji wengine.

Hata hawa wafanyabiashara wa ndani tuliowaomba wajenge viwanda ni lazima na watajiulize mara mbili mbili nini kitatokea siku wakipelekana mahakamani na serikali kama wataweza kupata haki au laa.

Kama tunataka mikataba na wawekezaji iwe na vipengele vya kusuluhisho migogoro kwa kutumia mahakama za hapa nchini,basi inabidi tujitafakari upya.
hamna lolote kazi yenu kuiombea nchi mabaya tu na wala hayatatokea.
 
Kim wa north korea pamoja na teknolojia na ubabe walionao bado wamerudi mezani kwa mazungumzo. Kuna siku tutakuwa wakimbizi siye
 
Kama tunataka mikataba na wawekezaji iwe na vipengele vya kusuluhisho migogoro kwa kutumia mahakama za hapa nchini,basi inabidi tujitafakari upya.
Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia
Maandamano yatakimbiza wawekezaji,muwekezaji muadilifu huwezi kumkuta mahakamani hata siku moja
 
Kwa haya yanayoendelea hapa nchini na ambayo pia yanaripotiwa na vyombo vya habari vya kimataifa, sitarajii kama kuna mfanyabiashara mwenye kujielewa atavutiwa kuja kuwekeza katika hii nchi achilia mbali ile taarifa ya deni la matrilioni tunalowadai acacia deni ambalo litakuwa pia limeshitua wawekezaji wengine.

Hata hawa wafanyabiashara wa ndani tuliowaomba wajenge viwanda ni lazima na watajiulize mara mbili mbili nini kitatokea siku wakipelekana mahakamani na serikali kama wataweza kupata haki au laa.

Kama tunataka mikataba na wawekezaji iwe na vipengele vya kusuluhisha migogoro kwa kutumia mahakama za hapa nchini,basi inabidi tujitafakari upya.

Tusisahau taarifa hizi zinasambaa dunia nzima na muwekezaji mwenye nia ya kutaka kuwekeza ni lazima atakuwa interested kujua kila kitu kuanzia hali ya kisiasa,kiuchumi,uhuru wa mahakama,n.k.
Unapoomba na kushawishi kutokuwekeza Tanzania unamkomoa nani?
 
Don't worry. Tunao wawekezaji wa kutoka bara Asia (wachina) kibao ambao hawana masharti ya kisiasa kama hawa wa ulaya na marekani.
 
acha kujidanganya mkuu, bora ata ulaya masharit yao yanaeleweka, mchina ni hatari zaidi ya udhaniavyo, hawa watu wajanja kwenye swala la wizi mzungu hamfikii mchina, waulize wakenya nn kinawatokea asa hiv
 
Back
Top Bottom